Super women 2
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 5,164
- 6,540
- Thread starter
-
- #81
NtarudiMmmmmh sawa tutafanyaje sasa
NdioKwa photo hapo
Tukivunja jungu la ftari tutapikia wapi sasaKaribu tuvunje jungu...
Kumtumikia MUNGU kwa mwezi mmoja tu kwa kufunga na kuzidisha maombi . Hakutaadhiri chochote.Mpaka mwezi uishe utapata shida sana best😀. Huna haja ya kujifanya mtakatifu wakati wote tupo nyuma ya keyboard.
Amen. Nakutakia pia mfungo mwema nawe. KaribuHakika wengi tutakaa kando Mimi naungojea mwezi uandame mpenzi,nakutakia mfungo mwema M/Mungu atujaalie kutimiza ibada hii
Vyema[emoji1] [emoji1] [emoji1] usiku kakako ataendelea kula kama kawaida, hakuna haja ya kuvunja jungu shem
Ushemela upo bwana. Hakika jf tutaimiss kwa mda. [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Hahahahaaa hainaga ushemela
Ni maamuzi ya mtu.Kwann nipe sababu 2 mnk mi rafiki yangu uwaga akifuturi anarud kwenye sigara ila wewe umegoma mwez mzim hutaki mada za humu
Wanamdanganya M/Mungu kwa mzigo watakaoubeba wenyeweNi maamuzi ya mtu.
Ila kwa sigara mimi naona kama ni mbaya. Ni kama kufungua na kunywa pombe kisha kesho unaemdelea na mfungo. Wakati sio sawa
SanaWanamdanganya M/Mungu kwa mzigo watakaoubeba wenyewe
Asante Sana. Tuombeane kheryAll the bestView attachment 514368
Kufunga sio jambo rahisi, ndo maana ikawa moja ya nguzo zetu kiimani. Tatizo ni pale unaponiaminisha umalaika wakati wewe ni binadamu. Shosti kutumika ni jambo la kawaida kabisa, usione hatari.Kumtumikia MUNGU kwa mwezi mmoja tu kwa kufunga na kuzidisha maombi . Hakutaadhiri chochote.
AmenKila la heri ndugu, Ramadhan Kareem!!
Sijakataa ila kila mtu na mitazamo yakeKufunga sio jambo rahisi, ndo maana ikawa moja ya nguzo zetu kiimani. Tatizo ni pale unaponiaminisha umalaika wakati wewe ni binadamu. Shosti kutumika ni jambo la kawaida kabisa, usione hatari.