Inshaalah :Tutaonana baada ya mfungo wa mwezi mtukufu wa ramadhani kuisha

Mpaka mwezi uishe utapata shida sana best😀. Huna haja ya kujifanya mtakatifu wakati wote tupo nyuma ya keyboard.
Kumtumikia MUNGU kwa mwezi mmoja tu kwa kufunga na kuzidisha maombi . Hakutaadhiri chochote.
 
Kwann nipe sababu 2 mnk mi rafiki yangu uwaga akifuturi anarud kwenye sigara ila wewe umegoma mwez mzim hutaki mada za humu
Ni maamuzi ya mtu.
Ila kwa sigara mimi naona kama ni mbaya. Ni kama kufungua na kunywa pombe kisha kesho unaemdelea na mfungo. Wakati sio sawa
 
Kumtumikia MUNGU kwa mwezi mmoja tu kwa kufunga na kuzidisha maombi . Hakutaadhiri chochote.
Kufunga sio jambo rahisi, ndo maana ikawa moja ya nguzo zetu kiimani. Tatizo ni pale unaponiaminisha umalaika wakati wewe ni binadamu. Shosti kutumika ni jambo la kawaida kabisa, usione hatari.
 
Sijakataa ila kila mtu na mitazamo yake
 
Back
Top Bottom