Super women 2
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 5,164
- 6,540
- Thread starter
- #41
Anataka kunifukuza tunachapwa na upande wa kanga tuKabisa, ila msubiri kwanza amalize mfungo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anataka kunifukuza tunachapwa na upande wa kanga tuKabisa, ila msubiri kwanza amalize mfungo.
Ahsante, hizo namba za simu ziko wapi sasaNtakuwa nakupigia cm. Uje udoee futari. Na dako
Fimbo zipo nyingi ujue.Huwa hatucharazwi na fimbo.
Na upande wa kanga
Aisee basi sawa.Anataka kunifukuza tunachapwa na upande wa kanga tu
PmKabisa, ila msubiri kwanza amalize mfungo.
Kwan hujaniona???Mfungo bado. Kwa usalama wake aje pm tu tuyamalize
Wacha nitupe kajicho nione na huu uhandsome wangu sikuwachiKwan hujaniona???
Msonyooooo kama wa harmo rapa....voice of Mange Kimambi (dada wa bashite Orginal)Wacha nitupe kajicho nione na huu uhandsome wangu sikuwachi
![]()
Hahaha ni noma huyu jamaaMsonyooooo kama wa harmo rapa....voice of Mange Kimambi (dada wa bashite Orginal)
Pm yenyewe nahisi inakutu, afadhali uni pm hizo namba niondoe gundu[emoji12] [emoji12]
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Pm yenyewe nahisi inakutu, afadhali uni pm hizo namba niondoe gundu[emoji12] [emoji12]
[emoji16][emoji16]Msonyooooo kama wa harmo rapa....voice of Mange Kimambi (dada wa bashite Orginal)
Sitamani. Na ni maamuzi yangu. Sijaphosiwausiwe vuguvugu kama unakuwa moto au baridi,yaani huingii huku kisa mfungo lkn unakuwa unatamani then baada ya mfungo unarudi tena?Duuh
Siondoki kwa sababu ya hiyo. Ila nimeamua tuUsiondoke bwana ata mimi ni muislam pia huku sio kama FB mambo ya lana lana hakuna
Sio nyingi banaSiku 30 nying aisee
Na mimi nini???N ww au