Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AmenRamadhani Kareem
Ya asprin siendiFimbo zipo nyingi ujue.
Halafu pm mbili hapa JF sharti ukiziingia uwe wizauti. Yangu na Asprin.
Mwambie akupe#Unajua nitakumiss lakini au unajichukulia hatua tu bila kunishirikisha?
Tunakufurahishaje.??Heheh.. Huwa mnanifurahishaga sana nyie watu.
Hamnaga kwangu.Vunja Jungu kisawasawa kabla mfungo haujaanza😛
Sio nyingi bana
Kwa photo hapoNa mimi nini???
Mpaka mwezi uishe utapata shida sana best😀. Huna haja ya kujifanya mtakatifu wakati wote tupo nyuma ya keyboard.Hamnaga kwangu.
Hakika wengi tutakaa kando Mimi naungojea mwezi uandame mpenzi,nakutakia mfungo mwema M/Mungu atujaalie kutimiza ibada hii![]()
Nawatakia mfungo mwema wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Ntadumu hapa mpaka kesho saa kumi jioni. Kisha ntakuwa njee ya hapa mpaka tumalize mfungo.
Nawapenda
Wewe pia? Inbox tuvunje JunguHakika wengi tutakaa kando Mimi naungojea mwezi uandame mpenzi,nakutakia mfungo mwema M/Mungu atujaalie kutimiza ibada hii
[emoji1] [emoji1] [emoji1] usiku kakako ataendelea kula kama kawaida, hakuna haja ya kuvunja jungu shemWewe pia? Inbox tuvunje Jungu
Hahahahaaa hainaga ushemela[emoji1] [emoji1] [emoji1] usiku kakako ataendelea kula kama kawaida, hakuna haja ya kuvunja jungu shem