lipo kundi la akina baba ambao wanafanyiwa ukatili na wake zao ikiwemo kunyimwa unyumba ambapo amewataka kutoa taarifa hizo kwa Jeshi la Polisi ili wahusika wa vitendo hivyo wachukuliwe hatua za kisheria.
Kweli kabisa uende polisi eti unanyimwa na wakati nyumba ndogo zipo?
Wewe ni mwanaume?Ukiona mkeo anakunyima unyumba jua basi ako na Akili. Sex ni kwa msimu tu sio kama chakula daily or weekly
Angalia jinsia yako uraiani.halafu jinsia yako ya jfNinavopenda mbususu siwez kumnyima MWANAUME wangu qumar...Abadan ....nevwaaaa...
Muache aendelee kujichanganya!😂Angalia jinsia yako uraiani.halafu jinsia yako ya jf
Kisha rejea comment yako.
Kuna mkanganyiko muheshimiwa
AuDuuh watajitetea wamechoka na kazi za nyumbani ,wapo red carpet ,kichwa kinauma ,tumbo linauma etc
Muache aendelee kujichanganya!😂
Kua mwanamke kumbe ni raha☺️
Nmesha angalia ...enhee unataka kusemaje we kinyago cha mpapuleeeAngalia jinsia yako uraiani.halafu jinsia yako ya jf
Kisha rejea comment yako.
Kuna mkanganyiko muheshimiwa
Hata mm kanichanganya,yeye madam hlf anapenda mbususu,jf kuna shida pahalaAngalia jinsia yako uraiani.halafu jinsia yako ya jf
Kisha rejea comment yako.
Kuna mkanganyiko muheshimiwa
Anapenda kua mwanamke halafu sio mtaalamu wa kuigizaHata mm kanichanganya,yeye madam hlf anapenda mbususu,jf kuna shida pahala