Iyerdoi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2012
- 2,717
- 3,895
Hao hapo kwenye dawati kwani vipi au hawana vigezo?Wakinicheka wataonesha uzuzu.Wanapaswa kunitafutia bibie mwingine.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao hapo kwenye dawati kwani vipi au hawana vigezo?Wakinicheka wataonesha uzuzu.Wanapaswa kunitafutia bibie mwingine.
Nitaangalia mmoja ambaye hajatwaliwa nimtwae tukale life.Hao hapo kwenye dawati kwani vipi au hawana vigezo?
Hii kauli 👆 👆 Imefunika kabisa. Kongole mkuu.Huu ndio upuuzi kama upuuzi mwingine..., Kwahio watakuja kuhakikisha kwamba unyumba unapatikana ? Rahisi tu kama unaona unapokaa hapafai wala hamna tena mapenzi kila mtu achukue hamsini zake, wakati mnatafutana hatukuwepo na wakati mnaachana mtumie busara zenu mlizotumia wakati mnapatana...
Relationship hailazimishwi na akufukuzae hakwambii toka...

Mbopo kuelekea Msumi, huku Daslam. Vipi nikuelekeze uje?Uko wapi....
Yes; Over & OutNitaangalia mmoja ambaye hajatwaliwa nimtwae tukale life.
Sasa!Mimi wala SiogopiNaona sana tuu, lakini WOy! Najiogopea.
Nakutakia kila la kheri.Sasa!Mimi wala Siogopi
Pokea simu kwanza nikwambie kituMbopo kuelekea Msumi, huku Daslam. Vipi nikuelekeze uje?
Ila Eve🤣🤣🤣🤣🤣Pokea simu kwanza nikwambie kitu
Nashukuru Mamii,,na naamini itakuwa Kheri TuNakutakia kila la kheri.
Ndio....Wewe ni mwanaume?
Inspecta mwenyewe mashallah jamanii!!
Katika kuhakikisha ulinzi na elimu vinatolewa kwa wananchi, Jeshi la Polisi kupitia kikosi cha Wanamaji nchini kimeendelea kuyafikia makundi mbalimbali ya watumiaji wa vyombo vya majini ambapo leo kimetoa elimu ya ukatili wa kijinsia na mbinu za namna bora za kujiokoa pindi inapotokea ajali katika vyombo hivyo.
Akitoa elimu hiyo leo Agosti 6,2024, katika Boti ya Kilimanjaro, Mkuu wa Dawati la jinsia na Watoto kutoka kikosi cha wanamaji, Mkaguzi wa Polisi Inspekta Avelina Temba amewaomba wananchi hao kutoa taarifa kwa Jeshi la Polisi juu ya vitendo vya ukatili wa kijinsia vinavyofanywa na baadhi ya watu wasio na maadili katika jamii.
Soma Pia: Polisi yahimiza Wananchi wote kuwa waangalizi wa Watoto
Inspekta Avelina ameongeza kuwa wazazi wanapaswa kufuatilia kundi la watoto ambalo tafiti zake zimeonyesha kuwa kundi hilo liko katika hatari ya ukatili ambapo amewataka kuwasikiliza watoto ili kuzitambua changamoto wanazopitia.
Naye Mkaguzi wa Polisi, Inspekta Anna Ugomba amebainisha kuwa lipo kundi la akina baba ambao wanafanyiwa ukatili na wake zao ikiwemo kunyimwa unyumba ambapo amewataka kutoa taarifa hizo kwa Jeshi la Polisi ili wahusika wa vitendo hivyo wachukuliwe hatua za kisheria.
Iko hivi,binadamu na sokwe hatufanyi mapenzi kwa ajili ya kuzaana,tunafanya kwa kustarehe,wewe tu uwezo wakoNdio....
Kwani Kwa Sheria ya Asili, wewe unadhani unapaswa kufanya kwa utaratibu upi wa muda ?
🤣🤣🤣 Babe unataka kusemaje?
Sasa si ni kweli!!Duuh watajitetea wamechoka na kazi za nyumbani ,wapo red carpet ,kichwa kinauma ,tumbo linauma etc
Amen!Ukiona mkeo anakunyima unyumba jua basi ako na Akili. Sex ni kwa msimu tu sio kama chakula daily or weekly
Kwamba unafanyaje?Biashara ya kuomba unyumba hakuna tena, ni ujinga mkubwa sana kwa mwanaume kuwa beggar wa uchi tena ulioulipia mahari.
Nawaza sijui nawe nikuripoti kwa tabia yako,🤣🤣🤣 Babe unataka kusemaje?
Usijali, limepita hilo🤣🤣Unyumba unakushinda kunipa basi unpe hata Usebule.