Inspekta Aveline Temba: Mnaonyimwa unyumba na wake zenu toeni taarifa

Inspekta Aveline Temba: Mnaonyimwa unyumba na wake zenu toeni taarifa

Twende dawati la jinsia🤣🤣
Naenda, haiwezekani nikulipie mahari, ule ugali wangu,ukiugua mie tumbo joto, mdogo wako akisumbuliwa ada simu napigiwa simu, mie nakula vizuri, Jogoo liko njema linawika saa 2 usiku mpaka alfajiri, lakini haipati ile raha duniani, haiwezekani

Tumefunga ndoa halali kabisa, lakini tendo la kuhalalisha ndoa halifanyiki, hili halikubaliki.
 
Muwe na huruma jamani, tuanachoka, wakati mwingine tunaumwa nk.
 
Yaan baba mtu mzima, unaenda ustawi wa jamii kisa kunyimwa mzagamuo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Iko hivi,binadamu na sokwe hatufanyi mapenzi kwa ajili ya kuzaana,tunafanya kwa kustarehe,wewe tu uwezo wako
Hapana Mkuu Hizo zinaitwa HALF BAKED SCIENCE zinakuwepo deep reason ni kuyumbisha watu tu.

Kitendo chochote cha kuondoa manii mwilini ni upotevu wa Nguvu Muhimu ikiwa kitendo hicho si kwa ajiri ya Procreation

Mkuu usione kila mara unakua Sexual aroused basi ukadhani eti unapaswa ujibu hitaji hilo everytime, hapo you simply deplete your Most potent energy ni vile hatujui ni kwa namna gani

Nyege sio tatizo, Bali tatizo ni mtu kutokujua ways za kubadiri nyege na kuwa useful energiesss. Hio ni very Profound wisdom iliyomo kwenye vitabu vitakatifu na sio lazima uwe mtu wa dini eti uelewe au vipi just anybody

Sasa ndio maan Wengine wanajuta san just a second baada tu ya kukojoa manii.

Lkn aaarrhh wewe twanga tu, endelea kutwanga daily.
 
Back
Top Bottom