Etugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 6,514
- 15,247
Mumy upo sahihi kabisa kpnz,si ndio huyu nyamwi mwinywa na nywamwila🤣🤣Anapenda kua mwanamke halafu sio mtaalamu wa kuigiza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mumy upo sahihi kabisa kpnz,si ndio huyu nyamwi mwinywa na nywamwila🤣🤣Anapenda kua mwanamke halafu sio mtaalamu wa kuigiza
Umemaanisha "anaacha/anaanza" kucheka? Samahani sijaelewaUnamwambia polisi anaacha kucheka😂😂😂😂😂😂
Uko wapi....Biashara ya kuomba unyumba hakuna tena, ni ujinga mkubwa sana kwa mwanaume kuwa beggar wa uchi tena ulioulipia mahari.
Bwana wee mbususu zimejaa tela zinahitaji kugegedwaKweli kabisa uende polisi eti unanyimwa na wakati nyumba ndogo zipo?
We nae ni mwanamke....??Muache aendelee kujichanganya!😂
Kua mwanamke kumbe ni raha☺️
Acha kutaja taja majina yangu ovyoo...utapakatwa buree kijana...Mumy upo sahihi kabisa kpnz,si ndio huyu nyamwi mwinywa na nywamwila🤣🤣
Kabisa.Dawati la Jinsia watakucheka sana ,wataona una matatizo ya afya ya akili.
Hawa Maaskari Polisi wameamua kwenda kufanya maigizo ya kuwachekesha wasafiri kwenye hiyo boat.!
Katika kuhakikisha ulinzi na elimu vinatolewa kwa wananchi, Jeshi la Polisi kupitia kikosi cha Wanamaji nchini kimeendelea kuyafikia makundi mbalimbali ya watumiaji wa vyombo vya majini ambapo leo kimetoa elimu ya ukatili wa kijinsia na mbinu za namna bora za kujiokoa pindi inapotokea ajali katika vyombo hivyo.
Akitoa elimu hiyo leo Agosti 6,2024, katika Boti ya Kilimanjaro, Mkuu wa Dawati la jinsia na Watoto kutoka kikosi cha wanamaji, Mkaguzi wa Polisi Inspekta Avelina Temba amewaomba wananchi hao kutoa taarifa kwa Jeshi la Polisi juu ya vitendo vya ukatili wa kijinsia vinavyofanywa na baadhi ya watu wasio na maadili katika jamii.
Soma Pia: Polisi yahimiza Wananchi wote kuwa waangalizi wa Watoto
Inspekta Avelina ameongeza kuwa wazazi wanapaswa kufuatilia kundi la watoto ambalo tafiti zake zimeonyesha kuwa kundi hilo liko katika hatari ya ukatili ambapo amewataka kuwasikiliza watoto ili kuzitambua changamoto wanazopitia.
Naye Mkaguzi wa Polisi, Inspekta Anna Ugomba amebainisha kuwa lipo kundi la akina baba ambao wanafanyiwa ukatili na wake zao ikiwemo kunyimwa unyumba ambapo amewataka kutoa taarifa hizo kwa Jeshi la Polisi ili wahusika wa vitendo hivyo wachukuliwe hatua za kisheria.
Wewe ni mwanaume kabisa,tangu zaman nilishakuwa na shaka na wewe,leo umejiumbua mwenyewe.Acha kutaja taja majina yangu ovyoo...utapakatwa buree kijana...
Yeah. Mbona njia mbadala zipo ni nyingi tuu? e.g. Mchepuko, Dada poa, Sheria mkononi, Housegirls, Samantha, portable AVs, n.k. n.k.Kunyimwa unyumba sio ukatili
mMh! Shauri yako. Haya bhana.###NjeYaMada###Aveli nae Mashallahh!!Yaliyomo Yamo
We Uoni?mMh! Shauri yako. Haya bhana.
Wakinicheka wataonesha uzuzu.Wanapaswa kunitafutia bibie mwingine.Dawati la Jinsia watakucheka sana ,wataona una matatizo ya afya ya akili.
Naona sana tuu, lakini WOy! Najiogopea.We Uoni?