Inspekta Aveline Temba: Mnaonyimwa unyumba na wake zenu toeni taarifa

Kunyimwa unyumba sio ukatili
 
Hawa Maaskari Polisi wameamua kwenda kufanya maigizo ya kuwachekesha wasafiri kwenye hiyo boat.!
 
Hivi ni kweli waliooa wananyimwa? Sasa hata kutumia nguvu unashindwa?
 
Huu ndio upuuzi kama upuuzi mwingine..., Kwahio watakuja kuhakikisha kwamba unyumba unapatikana ? Rahisi tu kama unaona unapokaa hapafai wala hamna tena mapenzi kila mtu achukue hamsini zake, wakati mnatafutana hatukuwepo na wakati mnaachana mtumie busara zenu mlizotumia wakati mnapatana...

Relationship hailazimishwi na akufukuzae hakwambii toka...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…