Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asikwambie mtu social network zinanguvu sana katika kutangaza biashara.Hongera sana,vijana ambao tuna lalamika hatuna ajira tujifunze kitu hapa sio tunasoma tu kama hadithi za kinamatola kula konokono.habari wadau..
mimi ni artist tu niliyebase kwenye graphics designing, tshirt printing, posters and banners printing na proffessional photography...
nilianza business miaka kama minne iliyopita ila sikuwa na page ya social network..
so nikitoka job nilipoajiriwa.. naingia workshop na nafanya kazi za wateja wangu mdogo mdogo...
mwaka jana kuna mtu akanishauri nifungue page ya biashara instagram niwe na post kazi zangu za kila siku.. itanisaidia sana watu kujua nachofanya na kuja kwa wingi...
kweli nikaanzisha page ya tshirt tu na kuanza kupost kazi na kuweka namba za simu... kiukweli mauzo yaliongezeka sana ikawa karibu kila siku nina kazi ya mteja...
nina tabia ya kuandika kwenye daftari kila kazi nayoifanya pia kwa ajili ya mahesabu..
siku ya xmass juzi nilichukua daftari langu na kuangalia profit ambayo biashara imezalisha mwaka huu ambazo ziikuja kwa wateja waliotokea instagram.. na kukuta milion 8 na laki moja na elfu 32 ni faida from instagram...
japo hela nimezitumbua sana.. ila nimefanikiwa kufungua studio ya kisasa ya picha kwa hela ambazo ni faida ya tshirt page ya instagram
Tshirt Garage Mabibo Hostel (@tshirt_garage_mabibo_hostel) • Instagram photos and videos
Ili uweze kulipia ni lazima uwe na kadi ya visa mfana UBA n.k. pia ukilipia facebook wanatuma tangazo lako kwa walengwa tu, hivyo kukurhisishia kazi ya kunasa wateja.Nicheki kwenye 0713-039875 nitakusaidia, humu sipo mara kwa maraMimi nashindwa jinsi ya kupromote page ,ninaambiwa nilipie ili watu wengi waione so nashindwa namna ya kulipia kama kuna unajua nielekeza mkuu
Mkuu t-shirts unaprint au una design then wengine wanaprint?malipo ya wateja wako wa Instagram mnalipana vip? Hapo nazungumzia wale wanaohitaji kazi soft copy mfano flier's and posters or LOGO. Hujawahi kutapeliwa??Ukinipa mwanga hapo nami nazama then ntakuja na mrejesho mwakani
Wengine instagram wanaitumia kuonesha viwalo vya vipya