Instagram inatajirisha sana wadada wajanja. kwa biashara ya Niagize China nikununulie mzigo wako. Wadada wa 2000 wamepindua meza ya kupiga hela

Vijana mnapenda utajiri wa haraka? Mtu achukue hela akupe bure? Kwa kazi gani special ambayo mwingine hawezi ifanya uifanye wewe na utajirike kwa nchi masikini kama bongo!
 
😄😄😄Ajiulizi mbona amna wanaume waliotajirika na iyo bzness.
Hapo sasa na kuna majamaa kama kina Chidi Mapenzi mawinger China kitambo lakini apeche alolo.

Leo kinakuja kibinti kimoja kinaonyesha hereni za jero jero halafu useme ndio kanunua Range.

Ukiona wanajifanya kutangaza mzigo wa kutaka kuagiziwa ujue msela aliempeleka huko yupo busy na mambo mengine kwa muda huo. Kinyume na hapo ni mwendo wa kuchezea mbupu mwanzo mwisho. Wakija huku wanajifanya walianza na mtaji wa buku kumbe mtaji papa.
 
🤣Kwamba hakuna mwanaume katajirika kupitia hiyo , ila una point ya msingi ila haina ushahidi
Vipo vidume miaka na miaka China. Kwa $150 kwa siku anakuonyesha machimbo ya mizigo.

Hao ndio walipaswa watajirike maana wanaishi huko huko. Lakini ukiwaangalia utawaonea huruma.
Na sio kwamba hawana jitihada ama wafujaji pesa ni kwamba theory ya kutegemea kutumwa na mtu kumnunulia mzigo kwa pesa yake haiwezi kukutajirisha hasa ukizingatia bei za vitu vyenyewe. Cheni za buku.

Hao kina dada wana biashara nyingine mbadala wa huko kuagiziwa na biashara yenyewe ni nyapu na upunda.

Mi don ya ngada inawapiga mbupu wakikinai wanafungashiwa ngada wanasafirisha na hapo ndio biashara ya 'niagizie china' inapoonekana inafanyika.
 
Wee mjinga kweli, yaan wee kazi yako iwe ni kuagizwa china Kwa gharama zangu??.

Hao ni Malaya wajanja.

hawa wanaenda china kwa gharama zao. wakifika kule wanatumia mbinu ya ushawishi watu. yaani wanaenda viwandani wanajirekodi wanapost bidhaa na bei zake kisha wanapost kwenye page zao. hii inawavutia watu walio bongo kuwatumia pesa wanunuliwe bidhaa fulani. kwenye bei ndio wanaweka cha juu chao. ama muda mwingine wanawanunulia maronya ya bei rahisi
 

hao wanaume wanajua kushawishi ? wana page zenye followers milioni tatu instagram ?

wanaoagiza vitu ni wanawake. wanawake wagumu sana kumtumia hela mwanaume awanunulie vitu maana wanajua wanaume ni matapeli. ila kwa wanawake wenzao wanawatumia hela maana wanajua wanawamudu . hii ndio mbinu ya hawa wadada kupiga hela. ni hela za wanawake wenzao
 
Mimi najitolea kukulipia nauli, malazi na misele ya machimbo yote ya China ya bei chee, uchague wewe tu kama unataka kutangaza electronics, chupi au urembo kwa mwezi mzima, yani siku 30.

Kazi yako wewe upost insta tu kuwaambia watu wakuagizie halafu uone utapata order ngapi na faida ya shilingi ngapi.

Ukitusua mbeleni utanirudishia gharama zangu ila ukifeli nitachukulia nimetoa sadaka.
 
We jamaa kiboko. Haya bwana, umeshinda.
 
Iga ufe
 
Hao ni wadangaji hio kama cover up
Ela haipatikani kirahsi hivyo
 

mimi ni mwanaume siaminiki kwa urahisi na pia sina followers milioni kwenye social media. hao wateja nawapata wapi. kazi hii mpe mwanamke mwenye followers milioni. awe na ofisi kalii Dar es salaam ambapo wateja watakuwa wanaenda kulipia oda zao na huyo mwanamke na afike china kwanza viwandani ndipo aanze matangazo ya kushawishi huku anaonesha bidhaa. hapo lazima apige hela.

NOTE : bila ofisi kali dar es salaam, na bila kufika china kwanza, na bila ya kuwa mwanamke, hii biashara ya uwinga china hupati mteja kwa urahisi.
 
Wengi wao wanauza madawa ya kulevya hio ni cover up tu
Mimi kuna dada nimesoma nae primary ni punda wa madawa ya kulevya ila anabiashara yake ya kuzuga hapo instagram

Kipindi kikwete walikuwepo sana ila kipindi cha magufuli walipigwa pini wakapotea sahivi wamerudi kwa kasi tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…