- Thread starter
- #21
😄😄😄Ajiulizi mbona amna wanaume waliotajirika na iyo bzness.
GSM ni wanaume wanaifanya sana hii biashara in large scale. ndio source mojawapo ya utajiri wao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😄😄😄Ajiulizi mbona amna wanaume waliotajirika na iyo bzness.
Hapo sasa na kuna majamaa kama kina Chidi Mapenzi mawinger China kitambo lakini apeche alolo.😄😄😄Ajiulizi mbona amna wanaume waliotajirika na iyo bzness.
🤣Kwamba hakuna mwanaume katajirika kupitia hiyo , ila una point ya msingi ila haina ushahidiEndelea hivyo hivyo kuamini kuwa hizo gari ni sababu ya niagize china.
Kinachojua ukweli wa mambo ni nyuchi zao.
Kajaribu wewe kuagiziwa china uone kama hutopauka kwa njaa.
uvuvi wa nn ngadu au pweza?Nilicho gundua wabongo wengi wana wivu wa maendeleo ya wenzao, hata upambane vipi watakutafutia tu sababu ya kukutia kasoro, na wivu kwa asilimia kubwa unasababishwa na uvuvi .
Vipo vidume miaka na miaka China. Kwa $150 kwa siku anakuonyesha machimbo ya mizigo.🤣Kwamba hakuna mwanaume katajirika kupitia hiyo , ila una point ya msingi ila haina ushahidi
Wee mjinga kweli, yaan wee kazi yako iwe ni kuagizwa china Kwa gharama zangu??.
Hao ni Malaya wajanja.
Vipo vidume miaka na miaka China. Kwa $150 kwa siku anakuonyesha machimbo ya mizigo.
Hao ndio walipaswa watajirike maana wanaishi huko huko. Lakini ukiwaangalia utawaonea huruma.
Na sio kwamba hawana jitihada ama wafujaji pesa ni kwamba theory ya kutegemea kutumwa na mtu kumnunulia mzigo kwa pesa yake haiwezi kukutajirisha hasa ukizingatia bei za vitu vyenyewe. Cheni za buku.
Hao kina dada wana biashara nyingine mbadala wa huko kuagiziwa na biashara yenyewe ni nyapu na upunda.
Mi don ya ngada inawapiga mbupu wakikinai wanafungashiwa ngada wanasafirisha na hapo ndio biashara ya 'niagizie china' inapoonekana inafanyika.
Mimi najitolea kukulipia nauli, malazi na misele ya machimbo yote ya China ya bei chee, uchague wewe tu kama unataka kutangaza electronics, chupi au urembo kwa mwezi mzima, yani siku 30.hawa wanaenda china kwa gharama zao. wakifika kule wanatumia mbinu ya ushawishi watu. yaani wanaenda viwandani wanajirekodi wanapost bidhaa na bei zake kisha wanapost kwenye page zao. hii inawavutia watu walio bongo kuwatumia pesa wanunuliwe bidhaa fulani. kwenye bei ndio wanaweka cha juu chao. ama muda mwingine wanawanunulia maronya ya bei rahisi
We jamaa kiboko. Haya bwana, umeshinda.hao wanaume wanajua kushawishi ? wana page zenye followers milioni tatu instagram ?
wanaoagiza vitu ni wanawake. wanawake wagumu sana kumtumia hela mwanaume awanunulie vitu maana wanajua wanaume ni matapeli. ila kwa wanawake wenzao wanawatumia hela maana wanajua wanawamudu . hii ndio mbinu ya hawa wadada kupiga hela. ni hela za wanawake wenzao
Iga ufeHabari wadau.
ukweli mchungu vibinti ya 2000 vijanja sana. hasa vilivyokuja na mbinu ya niagize china nikununulie mzigo wako.
Instagram na social media zingine zinatajirisha sana watu wanaojua kuzitumia kwa faida yao.
Mfano mdada wa miaka 23 anaejiita Kim china business. ameshusha mijengo ya nguvu Goba na salasala na kumiliki magari mazuri kwa mapato ya biashara ya niagize china
View attachment 2941107
Mdada mwingine graduate wa udsm mwaka 2022 Niffer Jovin. na yeye nae anashusha mijengo na kuendesha gari kali kwa mapato ya biashara ya niagize china nikununulie mzigo wako.
View attachment 2941115
Bila kusahau na wadada wengine kazaa wanaofanya hiyo biashara.
Funzo kubwa instagram na mitandao mingine inakupa ajira na maisha mazuri sana ukijua kuitumia kwa ujanja
Hao ni wadangaji hio kama cover upHabari wadau.
ukweli mchungu vibinti ya 2000 vijanja sana. hasa vilivyokuja na mbinu ya niagize china nikununulie mzigo wako.
Instagram na social media zingine zinatajirisha sana watu wanaojua kuzitumia kwa faida yao.
Mfano mdada wa miaka 23 anaejiita Kim china business. ameshusha mijengo ya nguvu Goba na salasala na kumiliki magari mazuri kwa mapato ya biashara ya niagize china
View attachment 2941107
Mdada mwingine graduate wa udsm mwaka 2022 Niffer Jovin. na yeye nae anashusha mijengo na kuendesha gari kali kwa mapato ya biashara ya niagize china nikununulie mzigo wako.
View attachment 2941115
Bila kusahau na wadada wengine kazaa wanaofanya hiyo biashara.
Funzo kubwa instagram na mitandao mingine inakupa ajira na maisha mazuri sana ukijua kuitumia kwa ujanja
Anataka kutufanya sote ni wajinga kama yeyeWeeee kijana nyamaza! Hujui lolote!
Mimi najitolea kukulipia nauli, malazi na misele ya machimbo yote ya China ya bei chee, uchague wewe tu kama anataka kutangaza electronics, chupi au urembo kwa mwezi mzima, yani siku 30.
Kazi yako wewe upost insta tu kuwaambia watu wakuagizie halafu uone utapata order ngapi na faida ya shilingi ngapi.
Ukitusua mbeleni utanirudishia gharama zangu ila ukifeli nitachukulia nimetoa sadaka.
Wengi wao wanauza madawa ya kulevya hio ni cover up tuutajiri wa haraka kivipi. kibiashara kuwa kwenye game mwaka mzima ama miaka miwili tena kwenye biashara ya manunuzi tu huwezi kusema amepata utajiri wa haraka.
ni ujanja tu wanaufanya hao wadada, maana ukipata watu 1000 wakakuagiza mizigo china ya laki moja kila mmoja maana yake utakusanya hela zao 100,000,000 ( milioni mia moja ),
ukafika china ukatumia milioni 60 kuwanunulia mzigo na kuwasafirishia na kuwapatia. maana yake trip moja umepiga faida ya milioni 40.
imagine kwa hiyo michezo ndani ya mwaka utakuwa umepiga trip ngapi ? na hapo laki moja nimeweka kima cha chini sana . hakuna mtu anaekuagiza mzigo wa laki moja. wengi wanalipa laki 5 ama milioni na kuendelea.