Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengi wao wanauza madawa ya kulevya hio cover up tumimi ni mwanaume siaminiki kwa urahisi na pia sina followers milioni kwenye social media. hao wateja nawapata wapi. kazi hii mpe mwanamke mwenye followers milioni. awe na ofisi kalii Dar es salaam ambapo wateja watakuwa wanaenda kulipia oda zao na huyo mwanamke na afike china kwanza viwandani ndipo aanze matangazo ya kushawishi huku anaonesha bidhaa. hapo lazima apige hela.
NOTE : bila ofisi kali dar es salaam, na bila kufika china kwanza, na bila ya kuwa mwanamke, hii biashara ya uwinga china hupati mteja kwa urahisi.
Kuna buashara chafu sana nyuma yakeKuna mtu kaanza biashara toka 2015 mpaka mwaka jana ndio akawa ananiambia kuwa biashara imefikia m200 na kitu, yaani kwa miaka 9 yote.
Sasa hawa kwa miaka miwili tu ana marange- rover, jaribu uone.
Na hapo jumlisha mikopo ya benkKuna mtu kaanza biashara toka 2015 mpaka mwaka jana ndio akawa ananiambia kuwa biashara imefikia m200 na kitu, yaani kwa miaka 9 yote.
Sasa hawa kwa miaka miwili tu ana marange- rover, jaribu uone.
Kuna mtu kaanza biashara toka 2015 mpaka mwaka jana ndio akawa ananiambia kuwa biashara imefikia m200 na kitu, yaani kwa miaka 9 yote.
Sasa hawa kwa miaka miwili tu ana marange- rover, jaribu uone.
Na hawa wanaharibu sana mabinti na vijana wadogo sababu wanawaaminisha maisha ni marahisi kumbe sio kweliNa hapo jumlisha mikopo ya benk
Nin rafiki yangu wa kike alifariki kwa masihara kama hayo ya nilianxa biashara na elfu 15 akawaamini.Na hawa wanaharibu sana mabinti na vijana wadogo sababu wanawaaminisha maisha ni marahisi kumbe sio kweli
Kupitia hao watu wanaofanya show off tunatengeneza kizazi cha watu wanaopenda shortcut
Kwamba ukiwa una-followers tu ndo utajiri tayari hizi fikra potofu umezitoa wapi inaonekana bado kifikra upo chini sanahawa ni mawinga tu. hawatumii mtaji wao wa pesa kuendesha biashara. hawa mtaji wao ni followers wao wengi kwenye page zao.
hawa hela zao wanatumia kwenye tiketi za ndege tu na hela za guest china. zaidi ya hapo hawana hasara tena
hawa ni kama procurement officers wa wajinga. faida kubwa wanapata sababu wanapiga cha juu kwenye hela za waagizaji
Wewe pia ni follower wake? Ulishawahi nunua bidhaa hata ya elfu 20 kwakuaa follower?hawa ni mawinga tu. hawatumii mtaji wao wa pesa kuendesha biashara. hawa mtaji wao ni followers wao wengi kwenye page zao.
hawa hela zao wanatumia kwenye tiketi za ndege tu na hela za guest china. zaidi ya hapo hawana hasara tena
hawa ni kama procurement officers wa wajinga. faida kubwa wanapata sababu wanapiga cha juu kwenye hela za waagizaji
Vijana wa Chuo hawaKwamba ukiwa una-followers tu ndo utajiri tayari hizi fikra potofu umezitoa wapi inaonekana bado kifikra upo chini sana
Game ni gumu asikudanye mtu ndo maana matajiri ni wachache kwa sababu game ni gumu sanaNin rafiki yangu wa kike alifariki kwa masihara kama hayo ya nilianxa biashara na elfu 15 akawaamini.
Ndo maana wakiumwa kidogo tu unashangaa wanaanzan kupitisha bakuli sasa wewe si tajiri inakuaje tena unapitisha bakuli kuomba msaadaWewe pia ni follower wake? Ulishawahi nunua bidhaa hata ya elfu 20 kwakuaa follower?
Husiwe motivated sana na hawa wadada wa mitandaoni kwani kuna siku utatamani kufanya wanacho kifanya wao na ukjikita unajutia maisha yako yote.Mafanikio yana process sio kitu rahisi kama uonavyo kwa hao wadada,ukiona mtu amepata hela za ghafla muogope ikiwezekana kaa nae mbali sana.Habari wadau.
ukweli mchungu vibinti ya 2000 vijanja sana. hasa vilivyokuja na mbinu ya niagize china nikununulie mzigo wako.
Instagram na social media zingine zinatajirisha sana watu wanaojua kuzitumia kwa faida yao.
Mfano mdada wa miaka 23 anaejiita Kim china business. ameshusha mijengo ya nguvu Goba na salasala na kumiliki magari mazuri kwa mapato ya biashara ya niagize china
View attachment 2941107
Mdada mwingine graduate wa udsm mwaka 2022 Niffer Jovin. na yeye nae anashusha mijengo na kuendesha gari kali kwa mapato ya biashara ya niagize china nikununulie mzigo wako.
View attachment 2941115
Bila kusahau na wadada wengine kazaa wanaofanya hiyo biashara.
Funzo kubwa instagram na mitandao mingine inakupa ajira na maisha mazuri sana ukijua kuitumia kwa ujanja
Kwamba ukiwa una-followers tu ndo utajiri tayari hizi fikra potofu umezitoa wapi inaonekana bado kifikra upo chini sana
Nipe mimi hii fursa. Nauli nalipa mwenyewe jikomit tu niishi hizo siku 30 china.Mimi najitolea kukulipia nauli, malazi na misele ya machimbo yote ya China ya bei chee, uchague wewe tu kama unataka kutangaza electronics, chupi au urembo kwa mwezi mzima, yani siku 30.
Kazi yako wewe upost insta tu kuwaambia watu wakuagizie halafu uone utapata order ngapi na faida ya shilingi ngapi.
Ukitusua mbeleni utanirudishia gharama zangu ila ukifeli nitachukulia nimetoa sadaka.
Uatajiri sio mrahisiwewe ndio upo chini kifikra. unachagua maneno unayotaka na kufanya conclusion yako.
Wewe pia ni follower wake? Ulishawahi nunua bidhaa hata ya elfu 20 kwakuaa follower?
Goodndio nimeshawai kununua, zaidi ya mara moja mimi ni mteja wake