Instagram inatajirisha sana wadada wajanja. kwa biashara ya Niagize China nikununulie mzigo wako. Wadada wa 2000 wamepindua meza ya kupiga hela

Instagram inatajirisha sana wadada wajanja. kwa biashara ya Niagize China nikununulie mzigo wako. Wadada wa 2000 wamepindua meza ya kupiga hela

Kuna mtu kaanza biashara toka 2015 mpaka mwaka jana ndio akawa ananiambia kuwa biashara imefikia m200 na kitu, yaani kwa miaka 9 yote.
Sasa hawa kwa miaka miwili tu ana marange- rover, jaribu uone.
 
mimi ni mwanaume siaminiki kwa urahisi na pia sina followers milioni kwenye social media. hao wateja nawapata wapi. kazi hii mpe mwanamke mwenye followers milioni. awe na ofisi kalii Dar es salaam ambapo wateja watakuwa wanaenda kulipia oda zao na huyo mwanamke na afike china kwanza viwandani ndipo aanze matangazo ya kushawishi huku anaonesha bidhaa. hapo lazima apige hela.

NOTE : bila ofisi kali dar es salaam, na bila kufika china kwanza, na bila ya kuwa mwanamke, hii biashara ya uwinga china hupati mteja kwa urahisi.
Wengi wao wanauza madawa ya kulevya hio cover up tu
Mimi kuna dada nimesoma nae primary ni punda wa madawa ya kulevya ila anabiashara yake ya kuzuga hapo instagram

Kipindi kikwete walikuwepo sana ila kipindi cha magufuli walipigwa pini wakapotea sahivi wamerudi kwa kasi tena

Inaonekana ni mgeni wa hawa watu
 
Kuna mtu kaanza biashara toka 2015 mpaka mwaka jana ndio akawa ananiambia kuwa biashara imefikia m200 na kitu, yaani kwa miaka 9 yote.
Sasa hawa kwa miaka miwili tu ana marange- rover, jaribu uone.
Na hapo jumlisha mikopo ya benk
 
Kuna mtu kaanza biashara toka 2015 mpaka mwaka jana ndio akawa ananiambia kuwa biashara imefikia m200 na kitu, yaani kwa miaka 9 yote.
Sasa hawa kwa miaka miwili tu ana marange- rover, jaribu uone.

hawa ni mawinga tu. hawatumii mtaji wao wa pesa kuendesha biashara. hawa mtaji wao ni followers wao wengi kwenye page zao.

hawa hela zao wanatumia kwenye tiketi za ndege tu na hela za guest china. zaidi ya hapo hawana hasara tena

hawa ni kama procurement officers wa wajinga. faida kubwa wanapata sababu wanapiga cha juu kwenye hela za waagizaji
 
Na hawa wanaharibu sana mabinti na vijana wadogo sababu wanawaaminisha maisha ni marahisi kumbe sio kweli

Kupitia hao watu wanaofanya show off tunatengeneza kizazi cha watu wanaopenda shortcut
Nin rafiki yangu wa kike alifariki kwa masihara kama hayo ya nilianxa biashara na elfu 15 akawaamini.
 
hawa ni mawinga tu. hawatumii mtaji wao wa pesa kuendesha biashara. hawa mtaji wao ni followers wao wengi kwenye page zao.

hawa hela zao wanatumia kwenye tiketi za ndege tu na hela za guest china. zaidi ya hapo hawana hasara tena

hawa ni kama procurement officers wa wajinga. faida kubwa wanapata sababu wanapiga cha juu kwenye hela za waagizaji
Kwamba ukiwa una-followers tu ndo utajiri tayari hizi fikra potofu umezitoa wapi inaonekana bado kifikra upo chini sana
 
hawa ni mawinga tu. hawatumii mtaji wao wa pesa kuendesha biashara. hawa mtaji wao ni followers wao wengi kwenye page zao.

hawa hela zao wanatumia kwenye tiketi za ndege tu na hela za guest china. zaidi ya hapo hawana hasara tena

hawa ni kama procurement officers wa wajinga. faida kubwa wanapata sababu wanapiga cha juu kwenye hela za waagizaji
Wewe pia ni follower wake? Ulishawahi nunua bidhaa hata ya elfu 20 kwakuaa follower?
 
Nin rafiki yangu wa kike alifariki kwa masihara kama hayo ya nilianxa biashara na elfu 15 akawaamini.
Game ni gumu asikudanye mtu ndo maana matajiri ni wachache kwa sababu game ni gumu sana

Wengi tunapata fedha za kuishi kumiliki magari mawil na nyumba kadhaa tunavyoongelea utajiri kuwa na fedha zaidi ya billion moja hiyo ni shughuli pefu
 
Habari wadau.

ukweli mchungu vibinti ya 2000 vijanja sana. hasa vilivyokuja na mbinu ya niagize china nikununulie mzigo wako.

Instagram na social media zingine zinatajirisha sana watu wanaojua kuzitumia kwa faida yao.

Mfano mdada wa miaka 23 anaejiita Kim china business. ameshusha mijengo ya nguvu Goba na salasala na kumiliki magari mazuri kwa mapato ya biashara ya niagize china

View attachment 2941107

Mdada mwingine graduate wa udsm mwaka 2022 Niffer Jovin. na yeye nae anashusha mijengo na kuendesha gari kali kwa mapato ya biashara ya niagize china nikununulie mzigo wako.

View attachment 2941115

Bila kusahau na wadada wengine kazaa wanaofanya hiyo biashara.

Funzo kubwa instagram na mitandao mingine inakupa ajira na maisha mazuri sana ukijua kuitumia kwa ujanja
Husiwe motivated sana na hawa wadada wa mitandaoni kwani kuna siku utatamani kufanya wanacho kifanya wao na ukjikita unajutia maisha yako yote.Mafanikio yana process sio kitu rahisi kama uonavyo kwa hao wadada,ukiona mtu amepata hela za ghafla muogope ikiwezekana kaa nae mbali sana.

Kuna wada sehemu zao za siri zinateseka mpaka wengine wanatumia vibaya kingono na kuna wengine unaweza ukakuta wanauza poda,so kuwa makini,social networks asilimia kubwa wanaotrend na kulingishia hela ni waongo.

Hawa wadada ndio wanawapanikisha sana wadada zetu mtaani,mpaka kuona elfu kumi kumi wanazo ziingiza kihalali mtaani hazifai.
 
Mimi najitolea kukulipia nauli, malazi na misele ya machimbo yote ya China ya bei chee, uchague wewe tu kama unataka kutangaza electronics, chupi au urembo kwa mwezi mzima, yani siku 30.

Kazi yako wewe upost insta tu kuwaambia watu wakuagizie halafu uone utapata order ngapi na faida ya shilingi ngapi.

Ukitusua mbeleni utanirudishia gharama zangu ila ukifeli nitachukulia nimetoa sadaka.
Nipe mimi hii fursa. Nauli nalipa mwenyewe jikomit tu niishi hizo siku 30 china.

Mimi nawaambia kitu kimoja ndugu zangu, kusahau order ukiwa na list hata ya watu watano ni kitu cha kawaida haswa haya maswla ya miamala.

Sometimes inatokea mtu kakutumia hela huku mzigo hamna, kwa walioenda china watateta hili, inabidi ukae na hela ya mteja.
Hata kkoo huwa tunafanya hii.

Siri ya hawa mabinti kufanikiwa, moja, consistency ya uaminifu kwa watu wengi na si mtu mmoja mmoja.
Mbili, the more transactions the more the money. Hawa kutransact mara 100 faida za buku buku kwa wiki wa siku kadhaa ni kawaida.

Winga kkoo kufunga tu Milioni kwa mwezi ni jambo la kawaida saaana. Kitu cha 10,000 anauza 15,000.
Ana gauni , ana raba, kuna mteja zambia anataka mikanda, mara kofia.huyu anataka moka. Ndugu zangu. Hao wadada wala msiwaze ni matapeli. Sijui wanauza unga. Mambo ya zamani hayo. Hao kama muandishi alivyoandika, wanavuna hela humu humu mikononi mwetu.

Fungua duka agiza vitu china, kachukue hata mwenyewe, kuepuka kuibiwa. Chukua vitu vya bei rahisi. Duka weka sinza . Kitu cha 15,0000 uza 40,000.
Baada ya miezi sita usipofanikiwa. Njoo unilawiti.
 
Back
Top Bottom