Instagram Party Tanzania Tour 2014 Mwanza Waandika Historia Watu 5,000 Wajitokeza Jembe ni Jembe

By Kim nana

Shoga nasikia Le Mbebez hajabadilisha Pensi kuanzia Dar-Mwanza-Dar....
Ama kweli huyu ni baharia wa nchi kavu.

- Mwanza nilienda kutafuta pesa sio kubadilisha nguo pesa huna wewe badilisha nguo sisi ngoja tutafute pesa I mean u celebrity bwana yaania wanakufuatilia mpaka nguo saafi sana niambie leo sijavaa nguo za jana yaani JF siku hizi tumejaza mburulazzzz wa ajabu wanaume wanaenda Mwanza kutafuta pesa wewe mtumzima na akili zako unakalia kufutilia nguo zao, kweli bongo ndio maana maendeleo hamna utaisoma tu wewe mburulazzz

Le Big Show
 
Mbona huwa wanadhamini mpaka mbio za mbwa hujawahi ona?

Nani kasoma mkwawa?

Nimesoma university of Denver USA kwa hela za baba sio Kama wewe kima mzee uliekimbia CHILD SUPPORT USA na kuja kutomaswa minyama uzembe na watoto
 
Usiumize kichwa na huyo jamaa ,mwambie akupe matokeo yake ya Kwiro.
 
Sina Dada ambae hana mume ...

Dada zangu wote wameolewa na wanaume wanaojiheshimu na wenye maisha yao standard sio Kama wewe mwenye mwili Nyumba akili kimba unayehangaika na vi party kwa umri huo..
Yaani unavyotisha hata hupendezi kujichomeka kwa vijana we kibabu koko....

Teh teh teh T-shirt ya starlet utaisoma namba mwaka huu mpaka unipeleke police namimi...
 
Attachments

  • 1412693228907.jpg
    51.6 KB · Views: 94
Last edited by a moderator:

Hahahahaha noma sana
 
Hahahahahaha BADILI TABIA unanivunja mbavu..... lemutuz mkareeee mzeee wa mabebeez wewe hutaki kwenda kwenye party

Muone anavyotisha....

Yaani huo mbichwa na umri wake na anayoyafanya havilingani kabisa...
 
Last edited by a moderator:

Hahaha mkuu kwa hiyo unataka kufungwa? Huyu jamaa hafungi mtu ana huruma sana ana samehe!
 
Hahaha mkuu kwa hiyo unataka kufungwa? Huyu jamaa hafungi mtu ana huruma sana ana samehe!

Huo msura Kama nyani....

MTU mzima kufanya mambo yakitoto haipendezi....

Huyo mavi ya kunifunga MTU Kama Mimi hana
 
hahahah Jamani watu mnamambo ...Binafsi namuadmire huyu Mutu kwa sababu hajali hatakaa afe na presha hata mseme nini :biggrin:...mwepesi kujibu halafu anajisifia vile vile :laugh:...kama Bi Khadija Kopa ......hongera Le Mbebs kama vipi ....Wajipange upya
 
Huo msura Kama nyani....

MTU mzima kufanya mambo yakitoto haipendezi....

Huyo mavi ya kunifunga MTU Kama Mimi hana

Unajua huyu mbabu alikuwa chipukizi wakati wa TAA baadae akawa TANU Youth League lakini mpaka sasa hivi analazimisha yupo UVCCM. Haukubali uzee ila uzee haufichiki si unaona sura yake inavyobubujika.
 
- zimashafika page 10 chezeya Le Big Show wewe, the one and only Tanzania nzima hakunagaaz niambie nani anaweza kufikisha page 10 JF kama sio Le Big Show tu hahahahahahaha haya sasa naenda zangu you know!!

Le Mutuz
 
Hhhaaaaa noumaa sanaaa
 
Hahaha mkuu kwa hiyo unataka kufungwa? Huyu jamaa hafungi mtu ana huruma sana ana samehe!
Hahahaaaaa,yaani JF raha sana mtu usipocheka una matatizo...hiyo picha nimecheka nikiwaza comments za humu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…