- Mwanza nilienda kutafuta pesa sio kubadilisha nguo pesa huna wewe badilisha nguo sisi ngoja tutafute pesa I mean u celebrity bwana yaania wanakufuatilia mpaka nguo saafi sana niambie leo sijavaa nguo za jana yaani JF siku hizi tumejaza mburulazzzz wa ajabu wanaume wanaenda Mwanza kutafuta pesa wewe mtumzima na akili zako unakalia kufutilia nguo zao, kweli bongo ndio maana maendeleo hamna utaisoma tu wewe mburulazzz
Le Big Show
Hahahahahaha BADILI TABIA unanivunja mbavu..... lemutuz mkareeee mzeee wa mabebeez wewe hutaki kwenda kwenye party
Acha kumpaisha huyu bwana, Celeb wa wapi? Labda kwa mkewe!!!!Lemutuz ni Celebrity pekee wa kitanzania ambaye amehamua kulitumia jukwaa la Celebrity!
Acha kumpaisha huyu bwana, Celeb wa wapi? Labda kwa mkewe!!!!
Sent from my iPhone using JamiiForums app
Hahaha hapana aisee
Umri umekwendaa....
Haiwezekenani na umri huu wa kustaafu niende pati za watoto wa miaka 15...
Nisije kuitwa boya bure na vitoto....
Duuuuuuuuuuu NYATURU LINE
Hahaha hapana aisee
Umri umekwendaa....
Haiwezekenani na umri huu wa kustaafu niende pati za watoto wa miaka 15...
Nisije kuitwa boya bure na vitoto....
- zimashafika page 10 chezeya Le Big Show wewe, the one and only Tanzania nzima hakunagaaz niambie nani anaweza kufikisha page 10 JF kama sio Le Big Show tu hahahahahahaha haya sasa naenda zangu you know!!
Le Mutuz
Acha kumpaisha huyu bwana, Celeb wa wapi? Labda kwa mkewe!!!!
Sent from my iPhone using JamiiForums app
Kweli we babu zuzu kweli.
Hilo domo ulivyorembua limekuwa Kama tumbua la bi kizee
- Inaitwa kura bataz za ubatan kesho nimealikwa na macelebirty kibao Coco Beach nitakuwa VIP Lounge kama unaweza njoo uone tunavyokura batazzzzzz wewe kalia kulia lia unalia nini wewe sio maarufu sasa sio kosa langu hakuna party ya mburulazzz hapa mjini only celebirtiies hahahahahahahahaah
Le Big Show
Hahahaaaaaa...jamani utanivunja mbavuuuu....eti kama nini...?!!!!
Mwenyewe anaona katokelezeeeeeaaaaa....hahahaaaaa