Nanaa
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 5,893
- 3,709
- Mwanza nilienda kutafuta pesa sio kubadilisha nguo pesa huna wewe badilisha nguo sisi ngoja tutafute pesa I mean u celebrity bwana yaania wanakufuatilia mpaka nguo saafi sana niambie leo sijavaa nguo za jana yaani JF siku hizi tumejaza mburulazzzz wa ajabu wanaume wanaenda Mwanza kutafuta pesa wewe mtumzima na akili zako unakalia kufutilia nguo zao, kweli bongo ndio maana maendeleo hamna utaisoma tu wewe mburulazzz
Le Big Show
Hee...me nlidhani tetesi kumbe kweli..!??
Basi uache uchafu we mbabaa...


