Nilikuona juzi una ligii nilichekajee
Yule dogo nilimkuta jukwaa la elimu anazungumzia mambo ya TCU nikajua bado mtoto sana, ndio maana alikuwa akinitukana mimi namuendea kistaarabu.Nadhani alinielewa.
Kumbeeeee nikasema leo nami nipumzike na ligiii nikuachie wewee
Hahahaha Dinazarde kwakweli Mimi siku yangu imekuwa nzuri kuona comments za lemutuz hahaha Mungu ampe maisha marefu hahahahaa
Wewe Mimi siwezi kutamani kuwa na baba ambae anazaa product za watu dull Kama wewe...
Kujulikana unaona issue?
Well.. My dad ni retired permanent secretary of certain ministry ktk nchi hii...
Sidhani Kama katibu mkuu Wa wizara anaweza kuwa hajasoma halafu huyo Huyo katuzaa watoto wenye akili za maisha sio wenye mitambi mikubwa na mabichwa duara ya kitaahira Kama wewe ambae mpaka kwenye umri huo wa ubabu unaona fahari kuongelea eti mchumba ni miss
Huyo alokupata inaonekana yupo desperate Sana na ndoa kwakuachwa na kila mwanaume kwa kasoro ambazo kwako kubwa jinga sio issue.....
Le maarufu mbona ulikimbia CHILD SUPPORT USA???
Ha ha ha usijali mkuu...
Siwezi mchukulia serious kima mzee Kama Le mutuz
- jAMANI mnamuona huyu mtu vipi wewe nani kakuuliza mambo ya baba yako wewe hahahahahahahaha leo umebanwa mbavu mpaka unajisema tuliza boli wewe hahahahahaha yaani jamaa haya mambo unayachukulia serious hivi hahahahaha so huyo ndio baba yako hahahahahahahaha jamaaa kanivunja mbavu kaenda kuleta macv ya baba yake yupo mashambani wewe tulia wewe unanyolewa hapa hahahahaha!!
Le Mutuz
- Profile yako inajisema mwenyewe picha ya mbwa sasa nani anaweza kukuchukulia serious leo umenaswa na your won medicine tuliza boli kaka wacha hasira haya ni majadiliano tu baba yako sio maarufu kama baba yangu so nyamaza tu U know
Le Mutuz
Mbona unajichekesha?
Wewe si umesema baba yangu hana elimu?
Hivi Mimi nikuchukulie serious wewe?
Nawaonea Huruma watoto wako kwa Majuto ya kuzaliwa na baba hopeless Kama wewe.....
MBONA HUJIBU?? KWANINI ULIKIMBIA CHILD SUPPORT USA??
Nimekuuliza what's so special kuzaliwa na MTU maarufu ikiwa MTU huyo anazaa matutusa na minyoo tu??
Shoga nasikia Le Mbebez hajabadilisha Pensi kuanzia Dar-Mwanza-Dar....
Ama kweli huyu ni baharia wa nchi kavu.
Yule dogo alikuja kwa ajili ya kuwatafutia watu ban.Pole sana Miss Strong.
- jAMANI mnamuona huyu mtu vipi wewe nani kakuuliza mambo ya baba yako wewe hahahahahahahaha leo umebanwa mbavu mpaka unajisema tuliza boli wewe hahahahahaha yaani jamaa haya mambo unayachukulia serious hivi hahahahaha so huyo ndio baba yako hahahahahahahaha jamaaa kanivunja mbavu kaenda kuleta macv ya baba yake yupo mashambani wewe tulia wewe unanyolewa hapa hahahahaha!!
Le Mutuz