Instagram Party Tanzania Tour 2014 Mwanza Waandika Historia Watu 5,000 Wajitokeza Jembe ni Jembe

Wanaotumia anonymous ID wote unawajua?

Kwahiyo maendeleo kwako ndo hizo party za mataahira?

Mkuu lusungo don take everything so serious..... calm down
Samahani lakini.
 
Last edited by a moderator:
Yule dogo nilimkuta jukwaa la elimu anazungumzia mambo ya TCU nikajua bado mtoto sana, ndio maana alikuwa akinitukana mimi namuendea kistaarabu.Nadhani alinielewa.

Kumbeeeee nikasema leo nami nipumzike na ligiii nikuachie wewee
 
Ili jukwaa kulumbana ni kitu cha kawaida, si unajua kila mtu ana ulewa wake wa jambo.Ndio hivyo tena hamna mtu aliyepata ban.Kama leo hapa tunalumbana na muuza utumbo lakini shwari tu.
 
Yule alipata ban mbona???pia miss Strong kama sikosei....dah I miss her
 
Last edited by a moderator:
Wewe Mimi siwezi kutamani kuwa na baba ambae anazaa product za watu dull Kama wewe...

Kujulikana unaona issue?

Well.. My dad ni retired permanent secretary of certain ministry ktk nchi hii...

Sidhani Kama katibu mkuu Wa wizara anaweza kuwa hajasoma halafu huyo Huyo katuzaa watoto wenye akili za maisha sio wenye mitambi mikubwa na mabichwa duara ya kitaahira Kama wewe ambae mpaka kwenye umri huo wa ubabu unaona fahari kuongelea eti mchumba ni miss

Huyo alokupata inaonekana yupo desperate Sana na ndoa kwakuachwa na kila mwanaume kwa kasoro ambazo kwako kubwa jinga sio issue.....

Le maarufu mbona ulikimbia CHILD SUPPORT USA???

- jAMANI mnamuona huyu mtu vipi wewe nani kakuuliza mambo ya baba yako wewe hahahahahahahaha leo umebanwa mbavu mpaka unajisema tuliza boli wewe hahahahahaha yaani jamaa haya mambo unayachukulia serious hivi hahahahaha so huyo ndio baba yako hahahahahahahaha jamaaa kanivunja mbavu kaenda kuleta macv ya baba yake yupo mashambani wewe tulia wewe unanyolewa hapa hahahahaha!!

Le Mutuz
 
Ha ha ha usijali mkuu...

Siwezi mchukulia serious kima mzee Kama Le mutuz

- Profile yako inajisema mwenyewe picha ya mbwa sasa nani anaweza kukuchukulia serious leo umenaswa na your won medicine tuliza boli kaka wacha hasira haya ni majadiliano tu baba yako sio maarufu kama baba yangu so nyamaza tu U know

Le Mutuz
 
- jAMANI mnamuona huyu mtu vipi wewe nani kakuuliza mambo ya baba yako wewe hahahahahahahaha leo umebanwa mbavu mpaka unajisema tuliza boli wewe hahahahahaha yaani jamaa haya mambo unayachukulia serious hivi hahahahaha so huyo ndio baba yako hahahahahahahaha jamaaa kanivunja mbavu kaenda kuleta macv ya baba yake yupo mashambani wewe tulia wewe unanyolewa hapa hahahahaha!!

Le Mutuz

Mbona unajichekesha?

Wewe si umesema baba yangu hana elimu?

Hivi Mimi nikuchukulie serious wewe?

Nawaonea Huruma watoto wako kwa Majuto ya kuzaliwa na baba hopeless Kama wewe.....

MBONA HUJIBU?? KWANINI ULIKIMBIA CHILD SUPPORT USA??
 
Nimekuuliza what's so special kuzaliwa na MTU maarufu ikiwa MTU huyo anazaa matutusa na minyoo tu??
 
- Mkuu kweli unategemea mimi nimchukulie serious mtu mwenye picha ya kichwa cha mbwa kweli kwenye profile yake si na mimi wenyee akili wataniona mwehu? hahahahahahahahahahahah, maisha ya watoto wangu hayakuhusu kama vipi mtafutie dada yako mume wachana na mimi mimi ngoma kubwa kaka, nina deal na multi million business Isntragram Party ni pesa mingi sana mkuu inahitaji akili kubwa sana sio kama yako ya kujiweka kama mbwa kwenye profile yako hahahahaha

Le Big Show
 
Nimekuuliza what's so special kuzaliwa na MTU maarufu ikiwa MTU huyo anazaa matutusa na minyoo tu??

- Sijawahi kusikia TBL, TIGO wanaingia mikataba mikubwa ya pesa na minyoo kama unavyosema ila UKAWA ndio huwa wanafanya hivyo, wewe umeamua kujiwkea kama mbwa ina maana akili yako ni sawa na huyo mbwa sasa leo unataka tena kuongelea baba yako na cv yake ya Mkwawa, wakati mimi nimesoma USA na BELGIUM unaona tofauti wewe mburulazzzz hahahahahahahhaha

Le Mutuz
 
- jAMANI mnamuona huyu mtu vipi wewe nani kakuuliza mambo ya baba yako wewe hahahahahahahaha leo umebanwa mbavu mpaka unajisema tuliza boli wewe hahahahahaha yaani jamaa haya mambo unayachukulia serious hivi hahahahaha so huyo ndio baba yako hahahahahahahaha jamaaa kanivunja mbavu kaenda kuleta macv ya baba yake yupo mashambani wewe tulia wewe unanyolewa hapa hahahahaha!!

Le Mutuz

hahahahaha...le mutuz we ni noma..hahaha
 
Back
Top Bottom