Instagram Party Tanzania Tour 2014 Mwanza Waandika Historia Watu 5,000 Wajitokeza Jembe ni Jembe

- Mkuu worry not, tunaenda Mbeya, Iringa, Dodoma, Morogoro and then Dar Nov 1 itakuwa VIP tu at Golden Jubilee and then Boxing Day Dar tutakuwa kwenye ukumbi wa $10,000 wa Mlimani City kumaliza Mwaka so stay tuned!!

Le Big Show

Why VIP le big show? Huoni kama wasio VIP watajiskia vibaya? Unatumia vigezo gani kumclassify mtu as a VIP? Na instagram inatumiwa na watu wote.
 
- Mkuu usiwe na wasi wasi mbona kama ume panic, tuliza boli wakati ukifika utaelezwa Details so tulia kwanza mtuwangu haya mambo sio mchezo U know!!

Le Mutuz
 
Hapo nakubaliana na wewe, kabla ya shule za kata na Private school tulitegemea shule za jumuiya ya wazazi kwa ajili ya vijana ambao hawakuchaguliwa kwenda secondary shule za serikali, sasa kwa jumuiya hii kuwa chini ya wav hopeless kama Bulembo na Le Mutuz watauwa hata hizi shule ambazo zilijengwa na kina Marehemu Chibwae, Mzee Jongo na wengineo, maana swala la wao kujenga walahu shule moja sahau wanawaza beach party tu.

Achilia mbali kujenga mpya...nyingi zimekufa nyingine hali mbaya kabisa....

Dunia inatushangaa kuwa na watu mufilisi Kama akina Lemutuz miaka 55 anahangaika Ku organize shenzi parties badala ya maendeleo...
 
- Mkuu worry not, tunaenda Mbeya, Iringa, Dodoma, Morogoro and then Dar Nov 1 itakuwa VIP tu at Golden Jubilee and then Boxing Day Dar tutakuwa kwenye ukumbi wa $10,000 wa Mlimani City kumaliza Mwaka so stay tuned!!

Le Big Show

Acha ujinga kima wewe ukue basi unatia aibu kwa limwili lako kubwa na umri mkubwa but unafanya mambo yasifaa Kama usaha...
 
Tena huyo Bulembo simpendiiiii, aligombea udiwani huku kwetu watu wakamlia hela halafu wakampiga chini...Akashinda Diwani wetu wa chadema, yani alivyokuwa na laana kaenda kumtengenezea zengwe diwani wetu hadi leo hakai ofisini...Simpendi ana mashauzi tena naomba 2015 aje tena tumuonyeshe kuwa watu hatuangalii chama tunaangalia mtu ziliyemtimia kichwani....

Sijui huko umoja wa wazazi wanachaguana kwa vigezo gani...

Huyo ndo hopeless kabisa....

Hivi watu wenye akili wanaweza mchagua MTU Kama lemutuz??

Huko ni dumb place...
 
Acha ujinga kima wewe ukue basi unatia aibu kwa limwili lako kubwa na umri mkubwa but unafanya mambo yasifaa Kama usaha...

- Ok next time sema hivi wewe una miaka 15 umefanya masmbo makubwa like 1, 2, 3 then ndio utakuwa na authority ya kuuliza mtu kama mimi mwenye miaka 65 kama Pinda kwa nini siko kama wewe yaani le mburulazzzzz hahahahahahaha

Le Mutuz
 
Achilia mbali kujenga mpya...nyingi zimekufa nyingine hali mbaya kabisa....

Dunia inatushangaa kuwa na watu mufilisi Kama akina Lemutuz miaka 55 anahangaika Ku organize shenzi parties badala ya maendeleo...

- Maendeleo ni pamoja na wananchi kuwa na fursa za kutengeneza pesa kwa kufanya Instagram Party, au maendeleo kwako ni nini mkuu sana? hahahahahahah

Le Big Show
 
Acha ujinga kima wewe ukue basi unatia aibu kwa limwili lako kubwa na umri mkubwa but unafanya mambo yasifaa Kama usaha...

hahaha le mutuz kujirekebebisha ni ndoto mwacheni tu muda utaongea
 
- Ok next time sema hivi wewe una miaka 15 umefanya masmbo makubwa like 1, 2, 3 then ndio utakuwa na authority ya kuuliza mtu kama mimi mwenye miaka 65 kama Pinda kwa nini siko kama wewe yaani le mburulazzzzz hahahahahahaha

Le Mutuz

Nimefanya makubwa tu sina haja ya kuyatangaza hapa...

Nakupa ukweli badilika umri wako ni wakufanya mambo mazito ktk jamii sio kufukuzana na watoto ktk party mshenzi Kama hizo
 
- Maendeleo ni pamoja na wananchi kuwa na fursa za kutengeneza pesa kwa kufanya Instagram Party, au maendeleo kwako ni nini mkuu sana? hahahahahahah

Le Big Show

Umri huo kubali ukubwa unatia aibu kima mzee
 
Wat up ma nigga....

- yoyoyoyoyoy worup maan! Wasap maan the Mwanza joint was a baang U know it was like daaamn man this is wasap maana le mabebez U know we just did what we know best U know 5,000 poeople at hand U know I love it wasaap maan?

Le Mutuz
 
Umri huo kubali ukubwa unatia aibu kima mzee

- hahahahaahah lazima wewe una mwili unaotia aibu next stop Mbeya mamen njoo nitakupa Complimentary tiket labda utapunguza hasira za kumuacha dada yako U knopw!!

Le Mutuz
 
Nimefanya makubwa tu sina haja ya kuyatangaza hapa...

Nakupa ukweli badilika umri wako ni wakufanya mambo mazito ktk jamii sio kufukuzana na watoto ktk party mshenzi Kama hizo

- hahahahahaha uliyoyafanya umeyafanyia wapi kwenu kijijini nini maana hapa mjini hakuna anayekujua mkuu wewe nyamaza ule habari za wakareeez Le Big Show ngoja mimi niendelee kufanya utoto unaodhaminiwa na makampuni makubwa kama TBL u know si unajua ndio waliokuwa our main Sponsors U know na Tigo kumbe hawa kazi yao ni kusimamia utoto saafi sana

Le Mutuz
 
- yoyoyoyoyoy worup maan! Wasap maan the Mwanza joint was a baang U know it was like daaamn man this is wasap maana le mabebez U know we just did what we know best U know 5,000 poeople at hand U know I love it wasaap maan?

Le Mutuz

Das wat am talkn 'bout. Keep representin.
 
Back
Top Bottom