Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Mh,nyaturu line wa kwa sintah ndio miss strong???
Hapanaaa nimesema tu nimemkubuka mama wema tu,yule ni nyaturu live
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mh,nyaturu line wa kwa sintah ndio miss strong???
- HAHAHA NA Dar ilikuwaje mr. Genius?
Le Mutuz
Mungu nijaalie niwe na moyo kama wa le supa baharia hata nitukanwejeee nione ni kichina tuuuu uwiiiiii
Mungu nijaalie niwe na moyo kama wa le supa baharia hata nitukanwejeee nione ni kichina tuuuu uwiiiiii
- HAHAHA NA Dar ilikuwaje mr. Genius?
Le Mutuz
Mi namkubali kwa kuwa at least ujinga na kutojitambua kwake kunamwingizia pesa. Na nafikiri pia hana presha bz he knows wht is doing.
Hahahahaha Moyo wa lemutuz ni wa aina yake ndio ujue mungu ni wa ajabu sana!
Huu moyo angebandikiwa warumi sasa hivi tungekua tunakula ubuyu tu,anatuchangamcha bana siku iende maana warumi hayupoo acha tucheke na le supa baharia hatakagi shida na mtu
Mi namkubali kwa kuwa at least ujinga na kutojitambua kwake kunamwingizia pesa. Na nafikiri pia hana presha bz he knows wht is doing.

Ha ha ha binamu kweli apewe moyo km Wa huyu Mtambo maana anachezea ban sana
Huyo madongo yanampiga Sana na anaumia tu sema ndo vile Mtambo Wa mavi
- Anachezea ban kwa sababu hatengenezi pesa na this game, I make money tena in tons wamenifundisha the Americans namna ya kusimamia your interest hata kama kuna nini you just look and stand for your interest, mimi natengeza pesa hapa na kwenye mitandao kwa ujumla, ninafanya Instagram Party ni kwa sababu ya kuwepo kwangu sehemu kama hizi ndio maana watu wanakuja,
- Safari ya kwenda MWanza ilikuwa ni shiderr kuanzia nilipotokea Uwanja wa Ndege hapa Dar wananchi wakavamia desk la Fastjet wengi wanataka picha gueas what wananiambia tunakujua from Facebook, Isntagram na JF, ikabidi wafanyakazi wa FaSTJET WANIPITISHE KWA milango ya nyuma nyuma mpaka ndani ya ndege, kufika Mwanza yale yale ni vurugu wananchi wanataka picha, sasa kuja kuingia ukumbini ni balaaa from Saa tano usiku mpaka saaa 10 ninapiga picha na wananchi, from there ikawa moja kwa moja kwenye ndege ndio maana nilipofika tu moja kwa moja beach kulala,
- Now ,mimi ninajua kwamba hili ni shamba langu la bibi wewe hujui na huna lolote kazi kuja kujaza tu kurasa halafu mimi nikuksairikie nitakuwa mwendawazimu kwa sababu nikikukasirikia ninajiharibia mwenyewe, Makampuni yote makubwa hapa bongo yana wawakilishi wao wanapitia sehemu zote hizi wananiona, niamini sasa tukiwa tunabishana hapa nimepigiwa simu na mtu aliyeniambia ananiona hapa JF ananialika kesho Osterbay kwenye bash la Celeberities sasa mimi ninawezaje kutukana hapa ni wenda wazimu, sasa unamtukana mtu hapa kwa jina lako la bandia ili iwe nini? Kama umesoma Shule vizuri unatakiwa kuelewa kwamba binadam anayetukana sana matusi ni sawa na debe tupu huwa lina kelele sana,
So people kila mtu akili zake kichwani,
Le Mutuz
Mbona huwa wanadhamini mpaka mbio za mbwa hujawahi ona?
Nani kasoma mkwawa?
Nimesoma university of Denver USA kwa hela za baba sio Kama wewe kima mzee uliekimbia CHILD SUPPORT USA na kuja kutomaswa minyama uzembe na watoto