Instagram: Vita kati ya Lulu na Gigy Money dhidi ya Mwanamuziki TEKNO

Instagram: Vita kati ya Lulu na Gigy Money dhidi ya Mwanamuziki TEKNO

Status
Not open for further replies.
Kuna siku tecno alikuwa anajibu maswali kwenye instagram page yake, aliulizwa ni nchi gani angependa sana kuishi kama isingekuwa Nigeria? akajibu TANZANIA...!!

Hii ni kutokana na kazi nzuri ya dada zetu. Hapa Davido anakuwa anaonea wivu hii kiki kinooma, nasubiri siku moja kusikia Davido katengeneza couple na Wema Sepenga, kila sekta inaenda international
Nakukubali sana kwa kufukunyua #teammember
 
#somebodytelTekno
 

Attachments

  • 1451932104995.jpg
    1451932104995.jpg
    72.7 KB · Views: 52
Atakuwa kamfumua kweli ila ameamua kumkana tu kumridhisha Lulu.
Lakini ubuyu unadai Tekno alikuwa kachoka akamfumua kwa dildo!!!!
Hiyo dildo Tekno alitoka nayo wapi??

Na nani alivujisha hii wakati walikuwa wawili tu??
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom