Instagram: Vita kati ya Lulu na Gigy Money dhidi ya Mwanamuziki TEKNO

Instagram: Vita kati ya Lulu na Gigy Money dhidi ya Mwanamuziki TEKNO

Status
Not open for further replies.
Hahahaaa hapo shost nimewatia aibu...huwezi amini nilikuwa sijui kama ndo Lulu wa Kigamboni. Duuuh nime SUPP.

Shoga nawe unatutia aibu wambea,Lulu wa kigamboni unauliza ni nani?
Hahahahaa[/QUOTE
 
Mnamaliza mb zenu kuwadiscuss malaya wa mwananyamala..
 
mjini daslam ukiwa na umaalufu kidoogoo tu hawa wanaojiita wadada wa mjini utakula sana punani mpaka useme basi
Mkuu unatakiwa kumhonga mwandishi wa shigongo 50,000/= aandike bilionea la kingoni linAtaka kumuoa lulu, halafu kodi room kwa siku mbili pale girrafe hapo unakuwa umemaliza mchezo, watajileta wenyewe
 
Mkuu unatakiwa kumhonga mwandishi wa shigongo 50,000/= aandike bilionea la kingoni linAtaka kumuoa lulu, halafu kodi room kwa siku mbili pale girrafe hapo unakuwa umemaliza mchezo, watajileta wenyewe
Hahahahaaa huu uzi leo utaniua kwa kucheka.
Hawa ndio wataalamu wa hizi kazi bwana...
cc Steph Curry Ruttashobolwa
 
hivi hapa kama kunamsanii anangoma sio wanasambaziana wenyewe kwasana nikiona chain ya masogange ...mawe....kidoti .....duhh nawaonea huruma
 
nifah nimeperuz na nimefika mpaka insta,huyu bint ndo leo namsoma hapa,who is Gigy?anafanya shughuli gani?nimeona picha zake kule ni ufiraun kwakweli,
Hana lolote mwaya,ni malaya tu kama Tekno alivyomuita.
Na ndio hivyo na mapicha yake ya ufirauni ili apate umaarufu,na leo kaupata kwelikweli.
 
Wala huyu Gigy sikuwa namjua mpaka nilivyopata hii habari...

Si unajua haya magroup ya whatsapp.. Ndio nilisoma hii story huko..
Mimi magroup ya wasap siyapendagi sijui kwanini,umbea wangu napigaga humu basi.
 
Kuna siku tecno alikuwa anajibu maswali kwenye instagram page yake, aliulizwa ni nchi gani angependa sana kuishi kama isingekuwa Nigeria? akajibu TANZANIA...!!

Hii ni kutokana na kazi nzuri ya dada zetu. Hapa Davido anakuwa anaonea wivu hii kiki kinooma, nasubiri siku moja kusikia Davido katengeneza couple na Wema Sepenga, kila sekta inaenda international
 
hivi hapa kama kunamsanii anangoma sio wanasambaziana wenyewe kwasana nikiona chain ya masogange ...mawe....kidoti .....duhh nawaonea huruma
Sio kama,sie yetu macho tu....
Huo msururu wote utapukutika kila mmoja kwa wakati wake.
Na hayo ndio malipo ya umalaya.
 
Mie najiuliza huyo sijui tekno anajua kiswahili?au alimpa mdogo wetu lulu aandike hiyo post?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom