Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
- Thread starter
- #141
Huwa natumia zote kwa wakati mmoja,au nikiichoka 1 nahamia nyingine.Yaah najua unatumia Tapatalk ndio maana nashangaa maana mimi sipatwi na tatizo hilo..
Wakati ule nilikua natumia App ya JF ndio maana sijaona.
Sometimes huwa naichoka Tapatalk.