Instagram: Vita kati ya Lulu na Gigy Money dhidi ya Mwanamuziki TEKNO

Status
Not open for further replies.
Zaidi ya aibu!
Imefikia mahali watu maarufu wakija tz wanawaza papuchi za bure kuliko wanavyofuata.
Ref. Mboni Masimba na Etoo + Fally Ipupa.
Ndo maana "masela" tunajipa moyo tukipata hela tutatomb...a papuchi zote "nzuri"
 
Hiyo dildo Tekno alitoka nayo wapi??

Na nani alivujisha hii wakati walikuwa wawili tu??
Nasikia iliagizwa.
Cha kujiuliza hapa ni kama Gigy alilala na meneja wa Tekno na bado akamfuata Tekno na kuomba game.....
Mhhhh kuna watu wanayaweza aisee.
 
Nasikia iliagizwa.
Cha kujiuliza hapa ni kama Gigy alilala na meneja wa Tekno na bado akamfuata Tekno na kuomba game.....
Mhhhh kuna watu wanayaweza aisee.
Wanasemaga "what happens in Vegas stays in Vegas"

Nasi tuseme "What happens in Dar stays in Dar"

Kama aliyafanya hayo basi kweli Dar tunapaswa kupigwa na hili jua kali
 
Wanasemaga "what happens in Vegas stays in Vegas"

Nasi tuseme "What happens in Dar stays in Dar"

Kama aliyafanya hayo basi kweli Dar tunapaswa kupigwa na hili jua kali
Acha tu,hawa malaya ndio wanaotuletea maafa.
 
Acha tu,hawa malaya ndio wanaotuletea maafa.
Inabidi hili swala lifanyiwe kazi...

Kama tutashindwa kuondoa hizi takataka zinajiita sijui money, bosslady itabidi tuimpose tax tu na walipe..
 
Inabidi hili swala lifanyiwe kazi...

Kama tutashindwa kuondoa hizi takataka zinajiita sijui money, bosslady itabidi tuimpose tax tu na walipe..
Na walipe tu kodi vurugu zipungue,tatizo itakuwaje kwenye ulipaji?
Maana tutajuaje kama huyu kaingiza sh ngapi?
 
Duuuh!Kwa mawazo haya?
Basi tu.

nasikia wasanii na wachezaji mpira wengi tu wanaotoka nje wanaokuja bongo wamekula totoz za kibongo

Hivi kuna mtu mwenye list ya wasanii waliokula totoz za kibongo hapa waiweke hapa au hata PM
 
Last edited:
Na walipe tu kodi vurugu zipungue,tatizo itakuwaje kwenye ulipaji?
Maana tutajuaje kama huyu kaingiza sh ngapi?
Wanakadiriwa tu.. Pale TRA kuna wataalamu wa kukadiria kodi kwa hizi biashara ambazo hazina hesabu za kihasibu..

Kwa mfano tukijua kwamba bei ya Wema Sepetu ni laki 5 whole night basi kwa mwezi tunampa siku 15 za kazi na 15 za off.. 500,000 * 15= 7,500,000 * 18% (Tax) = 1,350,000 inakwenda kununua madawa, madawati na kujenga mahabara..
 
Hahahahaaa umetisha sana kijana.
Sasa huyo ni wema tu,sasa hivi wapo wengi hawana idadi.
Seriously tunapoteza mabilioni ya kodi huko.
Sioni sababu ya mafuta ya taa kupandishiwa kodi wakati kuna 'wafanya biashara' wanaoweza kulipa hiyo kodi na zaidi.
 
nasikia wasanii na wachezaji mpira wengi tu wamekula totoz za kibongo

Hivi kuna mtu mwenye list ya wasanii waliokula totoz za kibongo hapa waiweke hapa au hata PM
Kabla ya chochote nijuze unaishi wapi mkuu?
Maana swali lako limenipa kigugumizi!
 
Kwa Giggy sidahani kama hii ni aibu..Mana yule akili zake anazijua mwenyewe
 
Hahahahaaa umetisha sana kijana.
Sasa huyo ni wema tu,sasa hivi wapo wengi hawana idadi.
Seriously tunapoteza mabilioni ya kodi huko.
Sioni sababu ya mafuta ya taa kupandishiwa kodi wakati kuna 'wafanya biashara' wanaoweza kulipa hiyo kodi na zaidi.
Yaani tunapoteza pesa nyingi sana.. Kama serikali inashindwa kuwadhibiti hawa wahuni inabidi wairasimishe tu hiyo biashara..

Watoto wengi sikuhizi wakiona shule inakuwa ngumu wao tayari wanajiingiza kwenye hizi biashara, tunatengeneza taifa la kipumbavu sana kwa jinsi hii... Na hawa wakiume badala ya kuwa wezi sikuhizi wanakuwa mashoga..
 
Aisee kweli tupu..haiwezekani kila kukicha bihashara inashamiri,tunapoteza mapato..hapa Sirikali ichangamke!..south Africa wanasheria zao na wanalipa mapato km bihashara zingine na wanaulinzi pia...mkuu nimependa hyo..umalaya na uchangudoa ulipishwe kodi,ila mmmh hizo papuchi zitakuwa makapu ya kubebea taka
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…