Ubuyu ndio nini nifah?? PM njoo hata wasapu ukitaka pichaSina habari mkuu,hebu tuhamie PM unipe ubuyu vizuri.
Hahajaaa wee nawe upo dipuuu, tuwekee basi yale makumbatio, manake ulikiwa ni mwendo wa ziro distance, heee alafu kumbe nipo nyuma ya kalenda this much, kumbe duro ni ya huawei? Me nilijia ni ya wizkd, naupenda hatareeee99% Lulu kaliwa na Tekno,na alivyomganda ni shiiidah.
Hadi nywele katengeneza kwa kuiga stlyle na model wa kwenye video ya Duro!
Makumbatio mbona yapo?Subiri nikipata muda nitakuwekea.Hahajaaa wee nawe upo dipuuu, tuwekee basi yale makumbatio, manake ulikiwa ni mwendo wa ziro distance, heee alafu kumbe nipo nyuma ya kalenda this much, kumbe duro ni ya huawei? Me nilijia ni ya wizkd, naupenda hatareeee
Hahahahahaaaaaa hapana hapa kati nilibanwa na familia hivyo network ya kwenye social ikaweka chenga chenga, alafu umeona gig nae kamjibu tecno, eti kamwambia anamkana nini na wakati kamdangia, kwanza hakumkuna vzr kwani anakibamia uuuuwiiii i can't deal!Makumbatio mbona yapo?Subiri nikipata muda nitakuwekea.
Uwiiiiii wewe nae umemganda huyo mondi tu hufuatilii wengine,pole sana.
Ametoka kuhojiwa na soudy brown now kwenye Uheard..Ukimsikiliza tu utajua huyu ni hamsini toa miaNa tekno pia maana kampost kabisa...! Nilishawai kujiuliza hivi kwanini huyo Gigy asidhibitiwe maana anapenda kujidhalilisha sana lakini naona kafunzwa na manager
Missing u too mkongwe mwenzangu, umeonaaaeee, kila kitu na zama zake u know, bifu tamu ni lile lenye time bind lakini mabifu ya nenda rudi mpaka mnaamua kuathimisha jubileee ya miaka 25 ya bifu halinogi, tuendelee na ubuyu manake unakaugwadu flani hivi amazing!Kabla ya yote miss you sana jirani yangu,siku hizi huku amani tele hakuna tena mabifu kama zamani.
Happy new year...
Lulu alifanya yake mwenzangu,kujitekenya na kucheka mwenyewe huko.
Inashangaza mtoto wa kike kung'ng'ania kuwa kapigwa mti,hii ni aibu sana.Hahahahahaaaaaa hapana hapa kati nilibanwa na familia hivyo network ya kwenye social ikaweka chenga chenga, alafu umeona gig nae kamjibu tecno, eti kamwambia anamkana nini na wakati kamdangia, kwanza hakumkuna vzr kwani anakibamia uuuuwiiii i can't deal!
Hahaahah.....maini ya mbuzi yametepeta.Hahahahaaa hivi maini ya mbuzi yakoje?
Ngoja nifuatilie hili.
Anakwambia ye mtt wa kike so kugongwa ni kitu cha kawaida..Imekuwaje mkuu?Wengine tumepitwa.....
Weka japo maswali na majibu machache
Ooops,ama kweli kazi ipo....Anakwambia ye mtt wa kike so kugongwa ni kitu cha kawaida..
kuhusu kuitwa malaya na kujirahisisha..anasema karibu kila mwanamke ni malaya wanatofautiana dau tu..So kama mtu amefika dau kuvua chupi kwake sio ishu...Na mwisho wa siku ye hajapoteta chochote mana amekula mkwanja na hao jamaa papuchi hawajaondoka nayo wala kuacha chata..Still ye anadunda...Na kwa maelezo yake inaonekana Techno na Meneja wake wote wamepiga
Uwiiiiii eti tuadhimishe miaka 25 ya bifu...Missing u too mkongwe mwenzangu, umeonaaaeee, kila kitu na zama zake u know, bifu tamu ni lile lenye time bind lakini mabifu ya nenda rudi mpaka mnaamua kuathimisha jubileee ya miaka 25 ya bifu halinogi, tuendelee na ubuyu manake unakaugwadu flani hivi amazing!
Basi sawa, wakati sisi huku tunaona aibu, mwenzetu anaona alitushua deal la maana over that nytAnakwambia ye mtt wa kike so kugongwa ni kitu cha kawaida..
kuhusu kuitwa malaya na kujirahisisha..anasema karibu kila mwanamke ni malaya wanatofautiana dau tu..So kama mtu amefika dau kuvua chupi kwake sio ishu...Na mwisho wa siku ye hajapoteta chochote mana amekula mkwanja na hao jamaa papuchi hawajaondoka nayo wala kuacha chata..Still ye anadunda...Na kwa maelezo yake inaonekana Techno na Meneja wake wote wamepiga
utafunepo hile tako. ha ha ha ha haGigy hata tako atakuwa anatoa yule walahi ngoja na mm nimtafute walao nitafunepo kidogo
Mkuu hivyo ni vichache tu..interview kama ya dk 4 hivi..Ametapika sanaOoops,ama kweli kazi ipo....
BTW,umetisha sana,umekariri interview nzima?
Hahahahahaaa
Hahahahaaaaa mwenyewe nimempenda alivyoshusha mashairi ya interview, hawa ndio wakukaa nao kwenye mtihaniOoops,ama kweli kazi ipo....
BTW,umetisha sana,umekariri interview nzima?
Hahahahahaaa
Ndo alichosema..Watu wanaongea ila ye ajali..ndo anaona wanampa kick tuBasi sawa, wakati sisi huku tunaona aibu, mwenzetu anaona alitushua deal la maana over that nyt