Kaboom
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 10,828
- 15,001
ndo hivyohivyoAmehojiwa juu ya nini tena? usiniambie juu ya kutamba kulalwa na wanaume.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndo hivyohivyoAmehojiwa juu ya nini tena? usiniambie juu ya kutamba kulalwa na wanaume.
Aisee,'UJANA NI NUSU YA UWENDAAZIMU'Haya hayaaaaa Lulu nae kajibu mapigo,ni muendelezo wa vita.
Na habari zilizopo chini ya kapeti zinasema Lulu aliiba passwords za Tekno,so leo mchana ni mkono wa Lulu ule.
Ndio maana kapost hivi kujihami...
Aisee ulikuwaga wapi??? teh tehHa ha ha haaaaaaa,huu uzi mtamuuuuu
Aione nifah
Yaani maisha yamebadilika,watu ni full kujidhalilisha tuui
Jana nilipita kidogo kisha nikaenda chungulia huko IG kumuona huyo mhusikaAisee ulikuwaga wapi??? teh teh
Huu uzi umenifanya nilale saa 7 usiku kwa umbea,watu wametiririka acha kabisa.
Pole mwaya...ndo unakosa uhondo hivo.Uwiiiiiii natamani kulia jamani picha mara zifunguke mara zigome!
Ngoja nisubiri,ila JF inakera sana siku hizi.
Mpe salamu zake huyo muhusika teh teh teh teh...Jana nilipita kidogo kisha nikaenda chungulia huko IG kumuona huyo mhusika
Sio kweli kama picha imetumwa kupitia Jf app kamwe kwenye tapa talk haiwezi funguka kwakuwa kuna tatizo kwenye jf app!Hadi Tapatalk picha hazifunguki,hii nini jamani?
cc Ruttashobolwa
Hata humu hili gubegube lipo lilikujaga kusoma ile story yake na kalalaMadame B poa atleast nimemjua make namuonaga tu sielewi hata ni nani kumbe ni jimama lililoshindwa ndoani, sasa ye bize kujifanya mshauri wa lulu kumbe yake yamemshinda
Huyo naye nani?Pole mwaya...ndo unakosa uhondo hivo.
Ikifunguka nambie nikupe ubuyu
ndo hivyohivyo
Rutta,ukiona nimelalamika ujue hadi kwenye Tapatalk imegoma kufunguka.Sio kweli kama picha imetumwa kupitia Jf app kamwe kwenye tapa talk haiwezi funguka kwakuwa kuna tatizo kwenye jf app!
lakini ukitumia Tapatalk picha itafunguka...
Hebu jaribu hiiView attachment 315040
Mbona mm siyo maarufu na bado nawachukua ma starmjini daslam ukiwa na umaalufu kidoogoo tu hawa wanaojiita wadada wa mjini utakula sana punani mpaka useme basi
Ok..Ukiona picha haifunguki ujue imetumwa nje ya Tapatalk....!Rutta,ukiona nimelalamika ujue hadi kwenye Tapatalk imegoma kufunguka.
Hata hivyo tayari nimeona....asante.