Instagram: Vita kati ya Lulu na Gigy Money dhidi ya Mwanamuziki TEKNO

Instagram: Vita kati ya Lulu na Gigy Money dhidi ya Mwanamuziki TEKNO

Status
Not open for further replies.
Haya hayaaaaa Lulu nae kajibu mapigo,ni muendelezo wa vita.
Na habari zilizopo chini ya kapeti zinasema Lulu aliiba passwords za Tekno,so leo mchana ni mkono wa Lulu ule.
Ndio maana kapost hivi kujihami...
Aisee,'UJANA NI NUSU YA UWENDAAZIMU'
Haya yooote hakuna la maana hata moja yaillah
 
Huu uzi umenifanya nilale saa 7 usiku kwa umbea,watu wametiririka acha kabisa.

Unamjua huyu?.....
Kaa mkao
Screenshot_2016-01-05-17-25-56-1.png
 
Uwiiiiiii natamani kulia jamani picha mara zifunguke mara zigome!
Ngoja nisubiri,ila JF inakera sana siku hizi.
Pole mwaya...ndo unakosa uhondo hivo.
Ikifunguka nambie nikupe ubuyu
 
Hadi Tapatalk picha hazifunguki,hii nini jamani?
cc Ruttashobolwa
Sio kweli kama picha imetumwa kupitia Jf app kamwe kwenye tapa talk haiwezi funguka kwakuwa kuna tatizo kwenye jf app!

lakini ukitumia Tapatalk picha itafunguka...
Hebu jaribu hii
uploadfromtaptalk1452013092534.png
 
Madame B poa atleast nimemjua make namuonaga tu sielewi hata ni nani kumbe ni jimama lililoshindwa ndoani, sasa ye bize kujifanya mshauri wa lulu kumbe yake yamemshinda
Hata humu hili gubegube lipo lilikujaga kusoma ile story yake na kalala
@MUNALOVE 100
 
ndo hivyohivyo

Inasikitisha na sijui hao wanaowahoji wanataka watoto wadogo wajifunze nini na wasichana wengine.

Bora wapige marufuku haya mambo kupewa kipaumbele inatia aibu nchi yetu.
 
Sio kweli kama picha imetumwa kupitia Jf app kamwe kwenye tapa talk haiwezi funguka kwakuwa kuna tatizo kwenye jf app!

lakini ukitumia Tapatalk picha itafunguka...
Hebu jaribu hiiView attachment 315040
Rutta,ukiona nimelalamika ujue hadi kwenye Tapatalk imegoma kufunguka.
Hata hivyo tayari nimeona....asante.
 
Rutta,ukiona nimelalamika ujue hadi kwenye Tapatalk imegoma kufunguka.
Hata hivyo tayari nimeona....asante.
Ok..Ukiona picha haifunguki ujue imetumwa nje ya Tapatalk....!
Hiyo picha niliyo weka imefunguka au lah?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom