Instagram: Vita kati ya Lulu na Gigy Money dhidi ya Mwanamuziki TEKNO

Instagram: Vita kati ya Lulu na Gigy Money dhidi ya Mwanamuziki TEKNO

Status
Not open for further replies.
Hata humu hili gubegube lipo lilikujaga kusoma ile story yake na kalala
@MUNALOVE 100
Mi nikionaga jitu zima ambalo lishatumia pakti kadhaa za topaz afu linafanya mambo ya kitoto naskiaga kichefuchefu kati ya haya majitu mazima huyu muna nae mmoja wapo linajiona kama lipo darasa la tano kumbe lizee hadi kwa mganga lishatembea sana mxyuuuu
 
huyo gigy huko alipo sijui atajisikiaje,kuitwa malaya mmh,ila swali je nani aliyemfundisha tekno kiswahili? hata kama huyo tekno inabid tumnyooshe adabu haiwezekani hatudhalilishie dada yetu hata kama ni malaya , mbwa huyo kumanina zake si anajifanya anashoboka kwa lulu, ngoja amuue ndo ashike adabu
:laugh: :laugh: :laugh: :laugh: :laugh:
 
Shemeji kula nasikia....mjini hakuna cha mume wa dada wala mjomba wa shangazi...mamamamaeeeee
Khaaaaa!Mjini kuna mambo?
Kwahiyo Muna keshaachana na mumewe au jamaa kaukubali 'uume wenza'?
 
Zaidi ya aibu!
Imefikia mahali watu maarufu wakija tz wanawaza papuchi za bure kuliko wanavyofuata.
Ref. Mboni Masimba na Etoo + Fally Ipupa.



Lol social media zimeondoa barrier...

Mazee fursa kama aje na wewe unaelewa utapata route somewhere within Africa....
anza scan chako cha kabla haujafika kieke sawa...


Ukifika tu wakikuta air port..

Viva social media!

Mie naona fursa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom