Je hawa wanaoendaga kufanya show nje..kama kina shishi kiuno nao wanaendaga kufanya hivyo..???maana msanii hana hata meneja na wala lugha hajui..show anapataje???Mlifikiri "show business" ni nini zaidi ya watu kujiuza miili na au utu wao?
Nnawashangaa nyinyi mnaowashangaa hao waliopo kwenye biashara hiyo.
Mbona picha hazifungukiBeautiful Onyinye Gigy money
mmmh hili jukwaa itabidi liitwe jukwaa la giggy,,kashamfunika mpaka Diamond kwa umaarufu...lakini huyu giggy ana mvuto flani hivi amazing...
kashamfunika , hata sisi tuliokuwa hatumjui tumemjua sasa,,Kamwe hawezi mfunika
kashamfunika , hata sisi tuliokuwa hatumjui tumemjua sasa,,
Huyo Gigy anapigwa hadi na mateja ijekuwa wewe?
Pesa yako tu mkuu.[/QUOT
Nifah!
Issue sio pesa, issue ni kukutana naye wapi, yeye si matawi! sisi tunaishia pale bar ya wazee ilala, yeye drink anapatia kule golden tulip. wapi na wapi Nifah weee
Hapa natumia Tapatalk na nimeona picha vizuri tu.
Aiseee huyu Gigy mwendawazimu sana.
Mkuu,gigy kwako ana mvuto???duuh wallah simpatii picha girlfriend wako/mkeo!!!mmmh hili jukwaa itabidi liitwe jukwaa la giggy,,kashamfunika mpaka Diamond kwa umaarufu...lakini huyu giggy ana mvuto flani hivi amazing...
Nimeishia kumwangalia tu,Mpe salamu zake huyo muhusika teh teh teh teh...
Wewe ni @Jamabazi na majambaz ni watu maarufu DarMbona mm siyo maarufu na bado nawachukua ma star