lukesam
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 12,661
- 26,457
Je hawa wanaoendaga kufanya show nje..kama kina shishi kiuno nao wanaendaga kufanya hivyo..???maana msanii hana hata meneja na wala lugha hajui..show anapataje???Mlifikiri "show business" ni nini zaidi ya watu kujiuza miili na au utu wao?
Nnawashangaa nyinyi mnaowashangaa hao waliopo kwenye biashara hiyo.