Instagram: Vita kati ya Lulu na Gigy Money dhidi ya Mwanamuziki TEKNO

Status
Not open for further replies.
Zaidi ya aibu!
Imefikia mahali watu maarufu wakija tz wanawaza papuchi za bure kuliko wanavyofuata.
Ref. Mboni Masimba na Etoo + Fally Ipupa.
dah uko wa Masimba tulijisikia aibu sana kipindi kile..
 
Haaaaahaaa

Miss you warumi!
Happy new year!!
 
Lulu huyu huyu mjane mdogo kuliko wote Tanzania
Ina maana huyo techno alikula lulu mjane? Sasa sisi watoto wa villa hata hao akina Gigy sijui gigy nawasikia leo hapa, naona ndio wanapewa promo
 
Gigy alikua anatafuta umaarufu kwa nguvu sana, nadhani this time amepata
 
Sio kwa mshushuo huo eeeehhhhh yaani hatari, huyo Gigy angepata picha aliyo uchi au wapo katika mahaba tungeiona...

Sijuibatajibu nini maana amekuwa anatukana watu kuita wana wivu. Aaaagh
 
Ina maana huyo techno alikula lulu mjane? Sasa sisi watoto wa villa hata hao akina Gigy sijui gigy nawasikia leo hapa, naona ndio wanapewa promo
Sijui kama alimla kwakweli ila niliona picha tu wamepiga pamoja
 
Ayayayaaaaa aiseee bonge la aibu chaaaaa
 
Sijui kama alimla kwakweli ila niliona picha tu wamepiga pamoja
99% Lulu kaliwa na Tekno,na alivyomganda ni shiiidah.
Hadi nywele katengeneza kwa kuiga stlyle na model wa kwenye video ya Duro!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…