Instagram: Vita kati ya Lulu na Gigy Money dhidi ya Mwanamuziki TEKNO

Status
Not open for further replies.
Ha ha ha Hamisa wakawaida sana pia....huyo ndo type yake ndio maana kamfunululia na kumjaza juu.Za siku?
Nzuri umepotea heri ya mwaka mupya, hamna bana she is cute οΏΌοΏΌ majizo alipaswa kuwa na gigy money cc nifah πŸ˜€πŸ˜€
 
Nzuri umepotea heri ya mwaka mupya, hamna bana she is cute οΏΌοΏΌ majizo alipaswa kuwa na gigy money cc nifah πŸ˜€πŸ˜€
Hahahahaaa uwiiiii mbavu zangu mie.
Na wangeendanaje?Kila nikimuangalia Hamisa namhurumia sana sijui kwanini!
Halafu alimpendaga huyo malaya majizo vibaya mnooo.
 
Nzuri umepotea heri ya mwaka mupya, hamna bana she is cute οΏΌοΏΌ majizo alipaswa kuwa na gigy money cc nifah πŸ˜€πŸ˜€
Ha ha ha maisha shost......umbea kidogo utafutaji kwa sana.Wakawaida tu sema kwa majizo mwenyewe alitaka hati miliki huyo ila pamemshinda.
 
Hahahahahahahaha ila wabongo bwana sijui tuna mini.. Na kiinglish kibovu watu kujazana kuandika RIP hahahahaha na ukizingatia hiyo mikiki kijana wa watu hajazoea, itakuwa imemuathiri sana kisaikolojia mpaka ku delete posts zote na ku unfollow watu..
 
Huyu mtoto mimi huwa namuona mnafiki na dada yake muna,ila ipo siku yao
Maana kumnyakulia mwenzie hamisa daah,na hii ya gigy lulu anajiona yupo juu sana anajidanganya
Huwa nawachukia sana wanawake wanaowachukulia wenzao mabwana hasa akiwa anafahamu kabisa huyo bwana anatoka na fulani and still bado anaenda jidumbukizamo...siwapendi kabisa
 
Hata mimi naamini hivyo,Lulu alivyo mjinga akafuraaahi mwenyewe.
Ni mwanamke mpumbavu pekee asiyewajua wanaume anayeweza kuamini aliyoyasema Tekno.
Nilikua nampenda lulu na kumhurumia kwa yanayomkuta katika umri mdogo ila amenitoka sana alivomchukua bwana wa mobeto na sasa na gigy ndio kabisa namwona mtu mmoja asiefaa duniani...kanitoka rohoni mpthuuuuuuuuuu.....
 
Huwa nawachukia sana wanawake wanaowachukulia wenzao mabwana hasa akiwa anafahamu kabisa huyo bwana anatoka na fulani and still bado anaenda jidumbukizamo...siwapendi kabisa
Uko kama mimi,nilishaapa sitokaa nimuumize mwanamke mwenzangu maishani!
 
Uko kama mimi,nilishaapa sitokaa nimuumize mwanamke mwenzangu maishani!
Mwache atanue mtoto .....mshipa wa aibu kwake uliamishiwa mapajani kujikuta yeye ndio mzuri sijui waliishia wapi na van vinker
 
Mwache atanue mtoto .....mshipa wa aibu kwake uliamishiwa mapajani kujikuta yeye ndio mzuri sijui waliishia wapi na van vinker
Van Vicker apeleke wapi ile mbilikimo?
 
Van Vicker apeleke wapi ile mbilikimo?
So alijigongesha kujitia kimbele kupiga picha nae....Mmmh kwanza muvi ya wema na van vinker imeishia wap hatimae twazeeka yakhee tunaisubiri ati
 
Wakuu nilikuwa busy kidogo sijapitia comments zote...

So kati ya Gigy na Lulu ni yupi aliepigwa miti na Teckno?
 
Huwa nawachukia sana wanawake wanaowachukulia wenzao mabwana hasa akiwa anafahamu kabisa huyo bwana anatoka na fulani and still bado anaenda jidumbukizamo...siwapendi kabisa
Ila hata hamisa alimuibia gola zuhura tena yeye akaamua kumzalia kabisa eeh huu ushost wa mjini acha kabisa,hakuna kutambulishana skuiz....
 
Uko kama mimi,nilishaapa sitokaa nimuumize mwanamke mwenzangu maishani!
Hivi nifah unaona lakini ugomvi wa wake wa mzee yusuph.. mimi siwaelewi especially huyu mke mdogo chiku hata kuandika hajui ni nini lakini kuolewa mke wa pili afu anashindwa kuhimili kutwa ni mafumbo tu πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ wanawake tuna kazi..
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…