miss strong
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 7,012
- 3,700
Ha ha ha Hamisa wakawaida sana pia....huyo ndo type yake ndio maana kamfunululia na kumjaza juu.Za siku?Wapo wenye pesa bwana type ya hamisa sio huyo kiazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha Hamisa wakawaida sana pia....huyo ndo type yake ndio maana kamfunululia na kumjaza juu.Za siku?Wapo wenye pesa bwana type ya hamisa sio huyo kiazi
Nzuri umepotea heri ya mwaka mupya, hamna bana she is cute  majizo alipaswa kuwa na gigy money cc nifah 😀😀Ha ha ha Hamisa wakawaida sana pia....huyo ndo type yake ndio maana kamfunululia na kumjaza juu.Za siku?
Ha ha ha maisha shost......umbea kidogo utafutaji kwa sana.Wakawaida tu sema kwa majizo mwenyewe alitaka hati miliki huyo ila pamemshinda.Nzuri umepotea heri ya mwaka mupya, hamna bana she is cute  majizo alipaswa kuwa na gigy money cc nifah 😀😀
Huwa nawachukia sana wanawake wanaowachukulia wenzao mabwana hasa akiwa anafahamu kabisa huyo bwana anatoka na fulani and still bado anaenda jidumbukizamo...siwapendi kabisaHuyu mtoto mimi huwa namuona mnafiki na dada yake muna,ila ipo siku yao
Maana kumnyakulia mwenzie hamisa daah,na hii ya gigy lulu anajiona yupo juu sana anajidanganya
Nilikua nampenda lulu na kumhurumia kwa yanayomkuta katika umri mdogo ila amenitoka sana alivomchukua bwana wa mobeto na sasa na gigy ndio kabisa namwona mtu mmoja asiefaa duniani...kanitoka rohoni mpthuuuuuuuuuu.....Hata mimi naamini hivyo,Lulu alivyo mjinga akafuraaahi mwenyewe.
Ni mwanamke mpumbavu pekee asiyewajua wanaume anayeweza kuamini aliyoyasema Tekno.
Uko kama mimi,nilishaapa sitokaa nimuumize mwanamke mwenzangu maishani!Huwa nawachukia sana wanawake wanaowachukulia wenzao mabwana hasa akiwa anafahamu kabisa huyo bwana anatoka na fulani and still bado anaenda jidumbukizamo...siwapendi kabisa
Mwache atanue mtoto .....mshipa wa aibu kwake uliamishiwa mapajani kujikuta yeye ndio mzuri sijui waliishia wapi na van vinkerUko kama mimi,nilishaapa sitokaa nimuumize mwanamke mwenzangu maishani!
So alijigongesha kujitia kimbele kupiga picha nae....Mmmh kwanza muvi ya wema na van vinker imeishia wap hatimae twazeeka yakhee tunaisubiri atiVan Vicker apeleke wapi ile mbilikimo?
Uko kama mimi,nilishaapa sitokaa nimuumize mwanamke mwenzangu maishani!
Ila hata hamisa alimuibia gola zuhura tena yeye akaamua kumzalia kabisa eeh huu ushost wa mjini acha kabisa,hakuna kutambulishana skuiz....Huwa nawachukia sana wanawake wanaowachukulia wenzao mabwana hasa akiwa anafahamu kabisa huyo bwana anatoka na fulani and still bado anaenda jidumbukizamo...siwapendi kabisa
Hivi nifah unaona lakini ugomvi wa wake wa mzee yusuph.. mimi siwaelewi especially huyu mke mdogo chiku hata kuandika hajui ni nini lakini kuolewa mke wa pili afu anashindwa kuhimili kutwa ni mafumbo tu 😀😀😀 wanawake tuna kazi..Uko kama mimi,nilishaapa sitokaa nimuumize mwanamke mwenzangu maishani!
Wote...nokia kafanya yake..Wakuu nilikuwa busy kidogo sijapitia comments zote...
So kati ya Gigy na Lulu ni yupi aliepigwa miti na Teckno?