Wote...nokia kafanya yake..
Pamemshindia nini sasa? Kashindwa kuhudumia au lulu kumzidi kete hamisaHa ha ha maisha shost......umbea kidogo utafutaji kwa sana.Wakawaida tu sema kwa majizo mwenyewe alitaka hati miliki huyo ila pamemshinda.
Mie sasahivi mashosti watashangaa michango ya harusi tu ghafla ndoa...there's too much nyakunyaku in townππIla hata hamisa alimuibia gola zuhura tena yeye akaamua kumzalia kabisa eeh huu ushost wa mjini acha kabisa,hakuna kutambulishana skuiz....
Huyo zuhura alikua shost wa hamisa? Nae amezaa na majizo?Ila hata hamisa alimuibia gola zuhura tena yeye akaamua kumzalia kabisa eeh huu ushost wa mjini acha kabisa,hakuna kutambulishana skuiz....
Tehe tehe, jirani siku hizi wakali wanajua sheria za mtandao hao. Kazi tunayo, dada zetu rahisi sana siku hizi.Zaidi ya aibu!
Imefikia mahali watu maarufu wakija tz wanawaza papuchi za bure kuliko wanavyofuata.
Ref. Mboni Masimba na Etoo + Fally Ipupa.
Hiyo post ya birthday? Hilo alilovaa kichwani ni wigi au steel wool?
Wala....hapa kwa hamisa.Hiyo post ya birthday? Hilo alilovaa kichwani ni wigi au steel wool?
Hata haifunguki
Hata haifunguki
Au ishu ya maji nini nmeona hamisa anasema mwanae ni muhimu zaidi ya maji, naona muna nae anamuita lulu maji ya kunywa right?Aiseeee..
Ha ha ha ha ha nimeona hao mashankupe wana kaziAiseeee..
Hiyohiyo.Au ishu ya maji nini nmeona hamisa anasema mwanae ni muhimu zaidi ya maji, naona muna nae anamuita lulu maji ya kunywa right?
Naona caption imefutwa, MO ndo nani tenaHiyohiyo.
Ila asubuhi ya leo Muna kafuta aliyosema katika pic ya Lulu.
Kwani....ushoga wa Muna na Lulu mbona umekuja juu hivi?
Nini kipo nyuma ya Pazia?
Afu nasikia Lulu na Mo mahasidi kisa mmewe Mo....ya kweli haya?
Wewe unauliza ya Wema na Van Vicker usiulize ile ya Superstar aliyomleta hadi Omotola Jalade?So alijigongesha kujitia kimbele kupiga picha nae....Mmmh kwanza muvi ya wema na van vinker imeishia wap hatimae twazeeka yakhee tunaisubiri ati
Na kweli wana hatarii hawa....naomba wasiishie hapo waigize na vifo vyaoWewe unauliza ya Wema na Van Vicker usiulize ile ya Superstar aliyomleta hadi Omotola Jalade?
Nyie hakuna muigizaji bora wa kike Tz nzima kama Wema,maisha yake tu ni zaidi ya maigizo.
Nisichoweza kukifanya ni kutoka na mwanaume ambaye mimi na mwanamke wake tunajuana.Hee! sasa hapo kinani ndo uko tayari kuwaumiza
Hivi ujue haya mambo siyajui?Sipendi taarab basi hadi hawa watu huwa siwafuatilii.Hivi nifah unaona lakini ugomvi wa wake wa mzee yusuph.. mimi siwaelewi especially huyu mke mdogo chiku hata kuandika hajui ni nini lakini kuolewa mke wa pili afu anashindwa kuhimili kutwa ni mafumbo tu πππ wanawake tuna kazi..
Nenda kajenge wewe, ila hakikisha kiwanja ni halali!Gigy hata tako atakuwa anatoa yule walahi ngoja na mm nimtafute walao nitafunepo kidogo