Instagram: Vita kati ya Lulu na Gigy Money dhidi ya Mwanamuziki TEKNO

Status
Not open for further replies.
Jamani WALIOKUWA WANATAKA A/C YANGU YA INSTA NIFUATENI PM NIWAPE TUFOLLOWIANE HUKO PIA TUTAGIANE KWENYE UMBEA.
ILA UKIJA SHARTI UTAJE NA YAKO,SIO NIKUPE YANGU TU.
KARIBUNI.
 
Nenda kajenge wewe, ila hakikisha kiwanja ni halali!
Ha! Ha! Ha! Ha! waliojenga Ruksa? Yaani nimekuja huku baada ya kuona nifah analalamika kule jukwaa la malalamiko kwamba wapita njia wanamkerra. Nimekutana na hili hadi nimeshangaa. Unaweza kujidai unajua mambo kumbe kuna vijambo vitakupita na wewe mshamba huvijui. Afadhali Lulu kidogo nilikuwa namjua. lakini huyo Giggy Money sijui!!
 
Sijakuelewa mkuu,mbona mimi sijalalamika hivyo?
Au umenifananisha nini?
 
Sijakuelewa mkuu,mbona mimi sijalalamika hivyo?
Au umenifananisha nini?
Nimechanganya madesa bibie! Kumbe ni huyu

 
Haya wapenda ubuyu huko Instagram gigy money kuweka Picha nyingine ya laana mchana huu
 
Nitampenda,nitakuwa muaminifu kwake ila akinizingua tu sinaga cha tumswalie Mtume,kibuti kinahusu.
Maisha yenyewe yako wapi kuishi na stress?
yule member mwenzetu wa jf kumbe umeshampiga kibuti..ndio maana ana stress sana tunashinda nae siasani sasa hivi
 
Mie sasahivi mashosti watashangaa michango ya harusi tu ghafla ndoa...there's too much nyakunyaku in town😉😀
Hahahaa, lol mjini njoo na akili tabia utazikuta huku huku...
 
Huyo zuhura alikua shost wa hamisa? Nae amezaa na majizo?
Eeeh...walikua mashost,ila zuhura hakuzaa na majizo japo anae mtoto sina uhakika baba ni nani,anatangaza clouds I think huyu dada
 
Hiyo post ya birthday? Hilo alilovaa kichwani ni wigi au steel wool?
Hahahaa kiatu cha bday kilibadilishwa,maana ana kiatu hicho alivaa kwa bday ya mwanae mpaka kusutwa mwee ndio kavaa kingine now...
 
Hahahaa kiatu cha bday kilibadilishwa,maana ana kiatu hicho alivaa kwa bday ya mwanae mpaka kusutwa mwee ndio kavaa kingine now...
Ha ha ha ha ha nliona anachambwa kuwa ana kiatu kimoja, yani huyu ni ana apply kaa na uaridi unukie, anatafuta umaarufu kupitia lulu
 
Mimi naangalia tu, sijui ni mandeleo au kukosa malezi, au ni tamaa? Ila vibinti kuanza mapema ni tangu zama za zama, lakini huku kujichetua, labada walikuwepo ila mitandao kwa kuwa haikuwepo basi hatukuwajua!!
 
Nitampenda,nitakuwa muaminifu kwake ila akinizingua tu sinaga cha tumswalie Mtume,kibuti kinahusu.
Maisha yenyewe yako wapi kuishi na stress?

mhh! Sasa si balaa hiyo hakuna hata msamaha
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…