Instagram: Vita kati ya Lulu na Gigy Money dhidi ya Mwanamuziki TEKNO

Status
Not open for further replies.
mhhh gigy money ananiudh sana anajiona anatako zaidi ya masogange ukome
Tako gani bwana,Gigy mwenyewe mchafuuuuu!
Anatumia mikorogo cheap haeleweki rangi yake utadhani alimezwa na kutemwa na chatu!
 
Huyo atakuwa Lulu kamtumia hivyo vichambo,haiwezekani Tekno aandike Kiswahili kilichonyooka kuliko mie Mtanzania.
Ka ulikua kichwani kwangu binamu nimewaza hivyo hivyo ila ni ujinga tu waaaaaiiiiii
 
99% Lulu kaliwa na Tekno,na alivyomganda ni shiiidah.
Hadi nywele katengeneza kwa kuiga stlyle na model wa kwenye video ya Duro!
Hao itakua wameanza uhusiano muda tekno ndo kaja kuzindua mwaka mapajani kwa lulu make naona anampost mara kwa mara.....uuuh sijui aliemvalisha ile Pete ya uchumba nani au tecno aliituma DHL lulu akapokea akavaa lol
 
Huyo atakuwa Lulu kamtumia hivyo vichambo,haiwezekani Tekno aandike Kiswahili kilichonyooka kuliko mie Mtanzania.
Na watu wangekua wanabaki na alphabet za wanaume walizotembea nazo, kuna watu nyuso zao zingekua na A to Z.Tamaa mbaya jamani.
 
Halafu hiyo post imeandikwa na mbongo kabisa. .unaweza kuta aliyeandika ni huyo aliyepewa credit(Lulu)

Duu lakini wanawake wa kibongo hasa wanao jiita mastar wanapenda sa kujidhalilisha hawana tofauti na watu wanao jiuza!
Hivi huyo Gigy money ana tofauti gani na wale wanao jipanga barabarani?
 
Mkuu,kwani huyo gigy hajiuzi???tofauti ni kwamba yeye unampigia simu unamuita ulipo na dau lako!
 
Gigy hata tako atakuwa anatoa yule walahi ngoja na mm nimtafute walao nitafunepo kidogo
 
Kwani nifah unatumia jina gani huko mtaa wa Instagram
Hahahahaa poleeee,sasa hivi natumia ID ya jina langu halisi siwezi kukupa,subiri nikirudia fekero id yangu nitakutumia PM.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…