Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Muite tu dada atakuchamba hadi utapike, mbona Id yake ya instagram huwa anaitajaMi ningepata ya sister Warumi ningeburudika sana, maana anahabari motomoto na anawafahamu watu balaa , kama ana PHD vile ya kuwafahamu watu
Huyu Masogange si alikuwa na Baraka Da prince?Tekno alikua na masogange, alishakua na yule husna pia mke mwenzie lulu
Hahahahaaa awataje ataishije mjini?Make anapete ya uchumba afu hapa tekno tena, ila lulu duh ndo maana huwa hawapost mabwana zake hata siku moja, hadi wakirest in peace ndo tunajua
Ha ha ha watakuwa wanakuja Tz kupiga hata show za bure lol tutegemee mafuriko ya show za wasanii wa nje kuna siku msanii atabakwa airport kwa mwendo huuYalaaaaa,kumbe kijana katafuna namna hii?
Kweli wabongo tupo juu sana kwa sasa.
Ma Icon wa taifa wekuwa wengi sana,kila pembe ya Afrika na dunia kiujumla tunajulikana.
Huyu tekno ni wa muda muda kidogo walikua wanapostiana tu Bae Bae Bae akayeyuka kama barafu kaja kuibukia kwa luluHuyu Masogange si alikuwa na Baraka Da prince?
Alionesha ukarimu kwa Samuel eto'o. Na fally Ipupa walivokuja bongo akawakaribisha papuchi yakeUnasema Mboni alifanyaje?
Mbona mimi natumia tapatalk si pati tatizo hilo? Najua tatizo hilo lipo kwa wanao tumia Jf app na nilisha mueleza Max na invisible..! labda network...JF sijui kuna tatizo gani,mara picha zifunguke mara zisifunguke.
Hapa sijaona hii uliyoweka maana haifunguki.
hahahahahah...sasa jirani hizo za wakenya tunazipata wapi?Hahahahaaa yanachekesha na kusikitisha.
Ngoja tusubiri vijembe kutoka kwa jirani zetu wakenya.
Bila shaka tutapewa jina la 'WAPOKEA WAGENI'.
Wabongo sisi wakarimu sana
Subiri wakenya wakitutukana tutazipata tu.hahahahahah...sasa jirani hizo za wakenya tunazipata wapi?
Aisee kwani instagram kwa nini inakuwa inatumika hivi...yaaani upuuzi wote hua nasikia unatokeaga Instagram....why not Tweeter?
Yaah najua unatumia Tapatalk ndio maana nashangaa maana mimi sipatwi na tatizo hilo..Hapa natumia Tapatalk na nimeona picha vizuri tu.
Aiseee huyu Gigy mwendawazimu sana.
Atakua Cherokee de assHuyu gigy s alishawh kusema kwenye interview yak ya wimbo wake mmoja iv ambao haukhit hata kidogo efm..kuwa sista ake ni porn star huko kwa obama..