INSYUKA ni movie bora sana kuwahi kuigizwa na wasanii wa Tanzania haina mpinzani

INSYUKA ni movie bora sana kuwahi kuigizwa na wasanii wa Tanzania haina mpinzani

Poker

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2016
Posts
5,445
Reaction score
14,828
Hi movie ilitakiwa ipewe heshima yake katika ulimwengu wa sanaa kwa namna bora ya uigizaji na namna ilivyoweza kuleta muamko mkubwa ndani na nje ya tasnia ya bongo movies. Nadhani hio ndio ilikuwa turning point ya bongo movies. Sidhani kama itakuja kuwa na mpinzani labda kwa baadae sana. Kudos kwa waigizaji wote
Screenshot_20221031-214136.jpg
Screenshot_20221031-214908.jpg
 
Hongera kwa Musa Banzi kwa kutengeneza kazi hii nzuri na nyingine nyingi kama vile Tabana,Game of love,Sakafu wa Moyo,Zogo,Kihongwe,Kiss me,Shenaiza n.k.......Bongo movie ilikuwa na uelekeo mzuri sana mpaka ilipokuwa na uelekeo mbaya
Sure ubinafsi ndio uliua tasnia ya bongo movies
 
Hi movie ilitakiwa ipewe heshima yake katika ulimwengu wa sanaa kwa namna bora ya uigizaji na namna ilivyoweza kuleta muamko mkubwa ndani na nje ya tasnia ya bongo movies. Nadhani hio ndio ilikuwa turning point ya bongo movies. Sidhani kama itakuja kuwa na mpinzani labda kwa baadae sana. Kudos kwa waigizaji woteView attachment 2403346View attachment 2403352
Dah...hii movie ilikuw ni balaa........sijui ilikuwa utoto bado unaniendesha au la...

Lakini ilikuwa inanitisha sana

Mkuu naweza kuipataje hio movie.....??
Iwe kwa kudownload au kununua cd
 
Basi utakuwa ulikuwa mdogo sana au ulikuwa bushi nyakati hizo
Nilitaka nimjibu hivyohivyo 😂😂mpaka nimeshtuka aisee nkasema huyu Poker yupo kwenye mind yangu au?
 
Back
Top Bottom