Sure ubinafsi ndio uliua tasnia ya bongo moviesHongera kwa Musa Banzi kwa kutengeneza kazi hii nzuri na nyingine nyingi kama vile Tabana,Game of love,Sakafu wa Moyo,Zogo,Kihongwe,Kiss me,Shenaiza n.k.......Bongo movie ilikuwa na uelekeo mzuri sana mpaka ilipokuwa na uelekeo mbaya
Ukiangalia uigizaji uhalisia na teknolojia tuliamini miaka 10 mbele tutakuwa mbali ila sasa imebaki kuwa historia.Nimekumbuka mbali sana..
Bongo movie kweli ilikuwa inakwenda mbali mpaka walipokuja kuingilia hawa wadangaji Maarufu , wakaitia nuksi...
.Nimekumbuka mbali sana..
Bongo movie kweli ilikuwa inakwenda mbali mpaka walipokuja kuingilia hawa wadangaji Maarufu , wakaitia nuksi...
Shumileta, Mfungwa Huru[emoji119][emoji119][emoji119]
Dah...hii movie ilikuw ni balaa........sijui ilikuwa utoto bado unaniendesha au la...Hi movie ilitakiwa ipewe heshima yake katika ulimwengu wa sanaa kwa namna bora ya uigizaji na namna ilivyoweza kuleta muamko mkubwa ndani na nje ya tasnia ya bongo movies. Nadhani hio ndio ilikuwa turning point ya bongo movies. Sidhani kama itakuja kuwa na mpinzani labda kwa baadae sana. Kudos kwa waigizaji woteView attachment 2403346View attachment 2403352
Kuna mzigo unaitwa Chiite Chitokae, pamoja mama yangu anakula nyama za watu, ilikuwa fujo mdogo wangu kumwambia akalale peke yake
Nilitaka nimjibu hivyohivyo 😂😂mpaka nimeshtuka aisee nkasema huyu Poker yupo kwenye mind yangu au?Basi utakuwa ulikuwa mdogo sana au ulikuwa bushi nyakati hizo