secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 2,998
- 4,948
Itoshe tu kusema tamaa mbele mauti nyuma.wamemuondoa muungwana relini kisayansi sana aise dah!
inasikitisha sana, na inashangaza sana kwakweli, tamaa na kukubali kuvimbishwa kichwa vimemponza dah π
Nyie ndio mnafanya watu wapate mashaka zaidi kuamini kuwa kwenye uchaguzi wa CHADEMA ndani yake kuna mkono wa CCM unao muunga mkono MboweTundu Lisu kuacha nafasi ya umakamu mwenyekiti kirahisi vile haikua bure, bali ilikua mipango mikakati ilopangwa kwa umakini mkubwa na makachero wa Chadema, ili kuhakikisha kwamba mwamba anashawishiwa kwa ustadi mkubwa, kwamba hivi sasa anazo sifa zote, vigezo na uwezo za kua mwenyekiti wa Chadema Taifa na sio makamu mwenyekiti tena, kumbe ni hadaa za kisayansi tu, dhidi ya wenye tamaa na uchu wa madaraka kama wa lisu. Maskini dah. Ama kweli wajinga ndiyo waliwao.
Lengo ni kumuondoa bila utata kwenye nafasi za uongozi Chadema, lakini pia kuondoa ugumu wa kumpata mgombea urasi wa Chadema 2025. Kumuondoa Lisu kwenye uongozi wa Chadema, kumerahisisha sana kumpata mgombea urasi asie Lisu bila chama kutikisika.
Miongoni mwa makachero hao, ni pamoja na hao wanaompigia simu, wanamuhadaa na kumtisha, nae bila kujua kua anarubuniwa. Anaogoma hata kuwataja, kwakua eti watu hao ni wa heshima sana nchi hii, ndio maana wanamtonya na kumshauri eti ajiongezee ulinzi, kwani kuna mipango ovu dhidi yake inapangwa, halafu ikitekelezwa atasingiziwa Mbowe.
Hizo ni hadaa anazofanyiwa na intelijensia ya Chadema bila yeye kujua. Itafika mahali atatishwa na kuikimbia nchi, kumbe ni kwasabb ya kushindwa uchaguzi.
Hata hivyo,
hivyo ndivyo intelijensia katika sayansi ya siasa hufanyika. Unamchochea muhusika aamini jambo lisilokuwepo, ili ajae kwenye 18 na mambo yake yaishe softly akishangaa na kung'aa macho tu.
Intelijensia ya kumshawishi Lisu ajiengue kugombea umakamu mwenyekiti Taifa, imetumika pia na kumuhadaa agombee uenyekiti wa Chadema Taifa, hali ya kua hana uwezo. Haya ni mafanikio makubwa sana kwa intelijensia team ya Chadema, na ni utapeli wa kisayansi sana amefanyiwa Lisu na kumtoa kabisa kwenye reli na medani ya siasa za kitaifa tuendako.
Sote ni mashahidi,
kwamba, kumrubuni mtu mwenye tamaa na uchu wa madarka ni kitu rahisi sana.
Ameruka majivu amekanyaga moto, na mkataa pema pabaya pana muita wahenga walisema hayo.π
Mungu Ibariki Tanzania
nadhani inteligensia ya chadema kupitia makachero wake, wako makini mno kufanikisha jambo hili gumu lakini kwa urahisi kiasi hiki..Yani wewe unajua sana kuliko Lisu mwenyewe? Huna hizo akili wala hata robo ya uwezo kujua jambo kumzidi Lisu mwenyewe.
Hao unaoita makachero wa Chadema hawana pia uwezo wa kumuingiza Lisu chaka, anachokifanya anakijua sana kuliko nyinyi failure na hapo alipo anawacheka tu.
Kwenye hili Chadema hawana kitu watapata, wakimuengua Lisu haitawapa ahueni yoyote zaid chama kinaelekea kusikojulikana ila kwakuwa ni hulka za binadam watakaza shingo kuwa wako fit ila ukweli hawana ushawishi wowote kwa wananchi hasa mtu kama Mbowe alichobakisha ni wale wanaokula kupitia yeye ila kwa watu wa kawaida Mzee hana ushawishi tena.
Chawa mwanasayansi wa kitaalam siyoπrelax and calm down gentleman,
usiwe na papara, mambo bado sana...
zingatia maelezo, ni muhimu sana na itakusaidia mno kufahamu na kuelewa vyema mambo haya ya kisayansi na yanayotekelezwa kwa umakini na ustadi mkubwa na makachero wa Chadema dhidi ya wenye tamaa π
Wacha weee!Kijana, kuna nini mbaya aliyoifanya Lissu kwako na familia yako labda
Kwa maana huishi kumtaja, na Kwa malengo yako ulitamani jamaa awe futi 6 chini sio?
Hao akina Lissu wamekuwepo Tanzania tangu kuumbwa Kwa Ulimwengu
Ndiyo miaka ile kabla ya Uhuru, ndiyo walikuwa akina Kinjikitile Ngwale, Mangi Maleale, Chifu Mkwawa, Mtemi Milambo and likes
Baada ya Uhuru ndiyo wamekuwepo akina Christopher Mtikila na hao akina Lissu
Kwahiyo hata baada ya wewe kuondoka hapa Duniani, ujue hao watu wataendelea kuwepo
Embu angalia hata watu wanaomuunga mkono uone kama wana akili Timamuyaan wamemkata maini kisayansi sana kisiasa dah,
tamaa ni kitu mbaya sana dah!
Kidumu Chama Cha Mapinduziuvivu wako ndiyo umaskini wako,
Gentleman,
huna haja kuexpress uvivu wako kwa wadau wa JF. Masuala haya ya kisayansi na kisiasa yanahitaji utulivu, umakini, bidii na bongo kali,
kama wewe ni mchovu kiasi hivyo, kuna kitu kingine unaweza kweli gentleman?π
Wataalamu wa mambo wanasema "ukidhani umepata basi ujue ndo umepatikana"ujuaji mwingi mbele kiza π€£
mashaka ya nini kwenye ukweli bayana kama huu gentleman?Nyie ndio mnafanya watu wapate mashaka zaidi kuamini kuwa kwenye uchaguzi wa CHADEMA ndani yake kuna mkono wa CCM unao muunga mkono Mbowe
Hii ''Wacha weee!''.....nahisi kama ni muandiko wa Mjukuu wangu mmoja humuWacha weee!
Gentleman,Chawa mwanasayansi wa kitaalam siyoπ