secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 2,998
- 4,948
Yeah,
usiache mbachao kwa msala upitao, dah π
Unaweweseka.Tundu Lisu kuacha nafasi ya umakamu mwenyekiti kirahisi vile haikua bure, bali ilikua mipango mikakati ilopangwa kwa umakini mkubwa na makachero wa Chadema, ili kuhakikisha kwamba mwamba anashawishiwa kwa ustadi mkubwa, kwamba hivi sasa anazo sifa zote, vigezo na uwezo za kua mwenyekiti wa Chadema Taifa na sio makamu mwenyekiti tena, kumbe ni hadaa za kisayansi tu, dhidi ya wenye tamaa na uchu wa madaraka kama wa lisu. Maskini dah. Ama kweli wajinga ndiyo waliwao.
Lengo ni kumuondoa bila utata kwenye nafasi za uongozi Chadema, lakini pia kuondoa ugumu wa kumpata mgombea urasi wa Chadema 2025. Kumuondoa Lisu kwenye uongozi wa Chadema, kumerahisisha sana kumpata mgombea urasi asie Lisu bila chama kutikisika.
Miongoni mwa makachero hao, ni pamoja na hao wanaompigia simu, wanamuhadaa na kumtisha, nae bila kujua kua anarubuniwa. Anaogoma hata kuwataja, kwakua eti watu hao ni wa heshima sana nchi hii, ndio maana wanamtonya na kumshauri eti ajiongezee ulinzi, kwani kuna mipango ovu dhidi yake inapangwa, halafu ikitekelezwa atasingiziwa Mbowe.
Hizo ni hadaa anazofanyiwa na intelijensia ya Chadema bila yeye kujua. Itafika mahali atatishwa na kuikimbia nchi, kumbe ni kwasabb ya kushindwa uchaguzi.
Hata hivyo,
hivyo ndivyo intelijensia katika sayansi ya siasa hufanyika. Unamchochea muhusika aamini jambo lisilokuwepo, ili ajae kwenye 18 na mambo yake yaishe softly akishangaa na kung'aa macho tu.
Intelijensia ya kumshawishi Lisu ajiengue kugombea umakamu mwenyekiti Taifa, imetumika pia na kumuhadaa agombee uenyekiti wa Chadema Taifa, hali ya kua hana uwezo. Haya ni mafanikio makubwa sana kwa intelijensia team ya Chadema, na ni utapeli wa kisayansi sana amefanyiwa Lisu na kumtoa kabisa kwenye reli na medani ya siasa za kitaifa tuendako.
Sote ni mashahidi,
kwamba, kumrubuni mtu mwenye tamaa na uchu wa madarka ni kitu rahisi sana.
Ameruka majivu amekanyaga moto, na mkataa pema pabaya pana muita wahenga walisema hayo.π
Mungu Ibariki Tanzania
Gentleman,Mkuu Tlaatlaah mchana na usiku unawaza Chadema si uongelee mambo ya huko kwenu CCM....
Relax gentleman,Unaweweseka.
Chadema inamhitaji Lissu kuliko Lissu anavyoihitaji Lchadema kwasasa
HahahahahahahaHii ''Wacha weee!''.....nahisi kama ni muandiko wa Mjukuu wangu mmoja humu
Kwani umebadiri username Mkuu?
Chawa Mbobevu mawnye utulivu na umakini kiwango cha juu sana siyo?Gentleman,
mambo haya ya kibobevu yanahitaji utulivu na umakini wa kiwango cha juu sana kuyaelewa.
Ni muhimu sana,
na itakusaidia mno. Ila ndio hivyo tena muungwana karudi chini backbencha kwa mwendo kasi sana dah π
Njoo uning'ate sikio, have been guessing on that Kila nionapo I'd yako humuHahahahahahaha
Kwakutumia akili ya kawaida tu unafikir Lisu anataka kuwa mgombea? Nani anataka kuwa mgombea wa Chadema katika kipindi hiki ambacho chama hakina ubavu wa kupimana na hila za CCM? Lisu ana akili timamu anajua kabisa bora kuwa mgombea wa udiwani una uhakika wa kushinda kuliko kugombea Urais. Hata Mbowe mwenyewe hayupo tayar kugombea Urais kwakuwa anajua fika hawezi mfanya chochote Samia kwenye sanduku la kura ukiachia ule unafiki wa kisiasa watakaokuja nao kuwa wameibiwa.nadhani inteligensia ya chadema kupitia makachero wake, wako makini mno kufanikisha jambo hili gumu lakini kwa urahisi kiasi hiki..
na tunapoelekea kwenye kumpata mgombea urais wa chadema, itakua rahisi mno kwasababu consideration kubwa itakua kwanza ni kwa viongozi,
Sasa Lisu sio kiongozi kwahiyo hakuna namna ambavyo anaweza kupata fursa hiyo, labda ahamie kwingineko
mass defections aloipanga imebuma kisayansi sana dah π
Gentleman,Kijana, kuna nini mbaya aliyoifanya Lissu kwako na familia yako labda
Kwa maana huishi kumtaja, na Kwa malengo yako ulitamani jamaa awe futi 6 chini sio?
Hao akina Lissu wamekuwepo Tanzania tangu kuumbwa Kwa Ulimwengu
Ndiyo miaka ile kabla ya Uhuru, ndiyo walikuwa akina Kinjikitile Ngwale, Mangi Maleale, Chifu Mkwawa, Mtemi Milambo and likes
Baada ya Uhuru ndiyo wamekuwepo akina Christopher Mtikila na hao akina Lissu
Kwahiyo hata baada ya wewe kuondoka hapa Duniani, ujue hao watu wataendelea kuwepo
Au ukimpanda farasi usimwingizie kidole mkunduni.na wala ukipewa lift usitake kupiga na honi π€£
Huku hakuna uenguaji holela,subiri muanze kuenguana kwa nafasi za kwenu hapo tuacheni sisi tufanye yetu.Wasimamizi wasaidizi walizinguaTundu Lisu kuacha nafasi ya umakamu mwenyekiti kirahisi vile haikua bure, bali ilikua mipango mikakati ilopangwa kwa umakini mkubwa na makachero wa Chadema, ili kuhakikisha kwamba mwamba anashawishiwa kwa ustadi mkubwa, kwamba hivi sasa anazo sifa zote, vigezo na uwezo za kua mwenyekiti wa Chadema Taifa na sio makamu mwenyekiti tena, kumbe ni hadaa za kisayansi tu, dhidi ya wenye tamaa na uchu wa madaraka kama wa lisu. Maskini dah. Ama kweli wajinga ndiyo waliwao.
Lengo ni kumuondoa bila utata kwenye nafasi za uongozi Chadema, lakini pia kuondoa ugumu wa kumpata mgombea urasi wa Chadema 2025. Kumuondoa Lisu kwenye uongozi wa Chadema, kumerahisisha sana kumpata mgombea urasi asie Lisu bila chama kutikisika.
Miongoni mwa makachero hao, ni pamoja na hao wanaompigia simu, wanamuhadaa na kumtisha, nae bila kujua kua anarubuniwa. Anaogoma hata kuwataja, kwakua eti watu hao ni wa heshima sana nchi hii, ndio maana wanamtonya na kumshauri eti ajiongezee ulinzi, kwani kuna mipango ovu dhidi yake inapangwa, halafu ikitekelezwa atasingiziwa Mbowe.
Hizo ni hadaa anazofanyiwa na intelijensia ya Chadema bila yeye kujua. Itafika mahali atatishwa na kuikimbia nchi, kumbe ni kwasabb ya kushindwa uchaguzi.
Hata hivyo,
hivyo ndivyo intelijensia katika sayansi ya siasa hufanyika. Unamchochea muhusika aamini jambo lisilokuwepo, ili ajae kwenye 18 na mambo yake yaishe softly akishangaa na kung'aa macho tu.
Intelijensia ya kumshawishi Lisu ajiengue kugombea umakamu mwenyekiti Taifa, imetumika pia na kumuhadaa agombee uenyekiti wa Chadema Taifa, hali ya kua hana uwezo. Haya ni mafanikio makubwa sana kwa intelijensia team ya Chadema, na ni utapeli wa kisayansi sana amefanyiwa Lisu na kumtoa kabisa kwenye reli na medani ya siasa za kitaifa tuendako.
Sote ni mashahidi,
kwamba, kumrubuni mtu mwenye tamaa na uchu wa madarka ni kitu rahisi sana.
Ameruka majivu amekanyaga moto, na mkataa pema pabaya pana muita wahenga walisema hayo.π
Mungu Ibariki Tanzania
π―Njoo uning'ate sikio, have been guessing on that Kila nionapo I'd yako humu
my friend,Kwakutumia akili ya kawaida tu unafikir Lisu anataka kuwa mgombea? Nani anataka kuwa mgombea wa Chadema katika kipindi hiki ambacho chama hakina ubavu wa kupimana na hila za CCM? Lisu ana akili timamu anajua kabisa bora kuwa mgombea wa udiwani una uhakika wa kushinda kuliko kugombea Urais. Hata Mbowe mwenyewe hayupo tayar kugombea Urais kwakuwa anajua fika hawezi mfanya chochote Samia kwenye sanduku la kura ukiachia ule unafiki wa kisiasa watakaokuja nao kuwa wameibiwa.
Lisu ni akili kubwa, huenda naye anajiengua kwenye hili anguko ili baadae aibuke shujaa. Taka usitake sio Lisu atapoteza ila ni Chadema kwenye hili sakata, Hii hoja ya ukomo wa madaraka ni kaa la moto na hakuna tena wa kuja kuwakemea Vibaka wa CCM kwenye hili tena, wao mfano wao ni mdogo tu, Mbowe.
sasa gentleman,Sikiliza wewe mponda lissu, huu upupu wako ungeuleta baada ya uchaguzi na lissu awe ameshindwa ungeeleweka vema. Kwa sasa upupu wako ni propaganda tu dhidi ya lissu. Hebu tulia kwanza chadema wafanye uchaguzi ndio uje reveal zako
muungwana hawezi kua mwenyekiti wa Chadema Taifa, atakuaje Rais wa nchi gentleman.Uyu bwana akiwa Rais kuna watu watapata tabu sana makonda..PT na watawala wengine ndio maana wana hofu sana