Intelijensia ya Rwanda sio ya mchezo mchezo, kinara wa Hotel Rwanda anashangaa kujikuta Kigali Airport

Mie ninachoshindwa kufahamu mpk sasa ilikuaje akapanda ndege hiyo, ni kwamba alitekwa? Au hiyo ndege ilisoma vingine mpk yeye akashawishika kupanda au alikodi private kumbe majasusi wa Kagame ndio wamiliki wakampeleka kwa Pilato
Ndege ya abiria Dubai to Bergiam.. Wakata umeme wakadukua njia ikaelkezwa alipo alipo zaliwa..
 
Ushauri mzuri sana huu
 
WhatsApp nayo ni safe sana japo sio 100% labda tu hakuamini wewe
 
Dah! Kumbe ilikua ni wakati wa Abacha The Butcher!? Ila Wanigeria tangia enzi hizo wanaiibia nchi yao hatariiii
Haikuwa kipindi vja Abacha ilikuwa kipindi cha shehu shagari as Rais na Umaru bikko alikuwa Waziri wa transportation ivo utawala wa Shehu baada ya kuwa overthrew na Millitary jamaa ndio alikimbilia Nje ivo plotters wakaa chini Wakiwemo Waisrael kama doctors kulinda jamaa asife kwenye box na Mwanausalama wa kinigeria, Mzigo ulikuwa labeled kama diplomatic bag kitu ambacho kinazuia ukaguzi wa kilichomo ndani mission ili fail baada ya secretary wake kuanza ku alert media kuwa umaru ametekwa na kuna possibility anasafirishwa nje ya UK checking zikaanza mpaka custom officer wa airport akasanuka Mwisho watekaji wote walifungwa jela na ilivuruga sana diplomatic ties kati ya nigeria na Uingereza, Wizara ya mafuta iko chini ya Rais yani Buhari ni Rais na minister wa hio wizara
 


Binadamu tumetofautiana Sana uelewa....hili ni SoMo zuri Sana..very interesting...kumbe na sisi tukiamua kumsaka Balali tunaweza
 
Binadamu tumetofautiana Sana uelewa....hili ni SoMo zuri Sana..very interesting...kumbe na sisi tukiamua kumsaka Balali tunaweza
Kweli kabisa Da Wangari, kama jamaa kweli bado yupo hai hakuna kinachoshindikana. Kama wanaotafutwa Rwanda wamekua wakikimbia kimbia na kujificha kwa zaidi ya miaka 20 lakini hatimaye wanapatikana naamini sisi tukiamua tunaweza fanya zaidi ya hayo
 
Huyu jamaa katafutwa na kurudishwa si kwa sababu ya hao aliowaokoa. Ishu nzima ni kumpinga Kagame na Utawala wake, keshaonekana ni tishio maana hata yeye ni jasusi vile vile. Fred Rwigiyema yupo wapi? Kaberebe je!?
 
Huyu jamaa katafutwa na kurudishwa si kwa sababu ya hao aliowaokoa. Ishu nzima ni kumpinga Kagame na Utawala wake, keshaonekana ni tishio maana hata yeye ni jasusi vile vile. Fred Rwigiyema yupo wapi? Kaberebe je!?
Mkuu huyu Fred Rwegima nadhani alikua close ally/friend wa Kagame na ndio kiongozi wa mwanzo wa RPF. Ninavyoelewa kifo chake baada ya kuuwawa kule msituni ndio kulifanya PK akatishe masomo Marekani aje aongoze mapambo dhidi ya serikali ya Rwanda ya wakati ule iliyokua chini ya Juvenal Habiarimana (kama sikosei)
 
Ili ndio jibu.Hizo nyingine ni porojo tu.Wako wengi tu wameingia matatani pale walipoonyesha nia yakuondoa madarakani viongozi wakiafrika wanaojifanya nchi ni mali zao binafsi.Nakwasababu dola na madaraka ni yao wanaweza kutunga sababu yoyote ile kuaminisha watu kile walichokikusudia.
 
Sio kweli, unajua PK ni mtu mmoja asiyekuwa na rafiki wala urafiki. Unaweza sema aliuwawa msituni ila sivyo kama unavyodhania, huyo ndiye aliyeonekana angekuwa rival wake baadae sababu kuishinda serikali ya Rwanda kwa kipindi kile ilikuwa ni given ila lilikuwa ni swala la muda tu
 
Beberu wakishakuchoka, wanakutema!

Hapo PK, kapeleka mzigo wa madini aliyoiba DRC wa kutosha kwa beberu, beberu akamset huyo wajina Paul, akanunue silaha Dubai, kumbe hatorudi.

Beberu hakutaka atekwe kwenye anga zake.
Ni common betrayal scenarios!

Atakutwa kafa gerezani, na uchunguzi utaendelea. Beberu atasimama na kupinga mauaji mbele ya camera na mic, waafrika wataridhika! End of story.

Everyday is Saturday..............................😎
 
Nenda kajifunze upya historia ya hiyo nchi na hayo mauaji yakimbari.acha kulishwa maneno bila kushirikisha akili yako.Yako mengi sana nyuma ya pazia ambayo huwezi kuyajua kirahisi.Uyo bwana ni njia tu yakumnyamazisha ili Pk aendelee namambo yake.
 
Dah! Basi kama ni hivyo itakua kuna siri nyingi sana hatuzijui, yaani pengine kuna mambo kwenye siasa ambayo uhalisia wake ni tofauti na tunavyoona kwa nje
 
Dah! Basi kama ni hivyo itakua kuna siri nyingi sana hatuzijui, yaani pengine kuna mambo kwenye siasa ambayo uhalisia wake ni tofauti na tunavyoona kwa nje
Ndugu ukitaka angalau kujua yanayofanyika na serikali hizi duniani kote, tafuta kitabu kinaitwa SECRET MEETING OF ELDERS OF ZION, kiliandikwa miaka mingi sana walipokisoma wakubwa wa serikali ikaamuliwa kopi zote zikusanywe zitiwe moto ila kuna waliokuwa wameshakisoma wakarudia kukiandika tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…