inawezekana umeandika point ila huna akili hata punjeMoja kwa moja nijikite kwenye mada,
Hapo jana sikupenda kusema chochote kuhusu simba yangu maana ningeteremsha mitusi mizito kuanzia kwa kocha na mzungu wake ningeambulia ban ya maisha humu
Wameshaongea mengi humu kuhusu ukilaza wa kocha hasa kutojua ampange nani na wakati gani hususani kumtoa chama dakika za mchana za mchezo na kumuingiza mzamilu mwenye kitambi cha kispoti ambaye kama asingekua mchezaji bila shaka angekua mvuvi wa dagaa wa kigoma, yote kwa yote muda umeshamtupa mkono
Muhimu hapa ni kuhusu perfomance ya huyu beki wetu Inonga Baka
Imethibiti beyond reasonable doubt huyu ni beki bora kweli kweli na hayo yalidhihilika msimu ulioisha pamoja na mechi mbalimbali za kimataifa alionyesha uwezo wa hali ya juu kwelikweli
Kilichonisukuma niandioe huu uzi ni kutokana na ukweli usiopingika kwamba mpira wetu unachezwa "NJE YA UWANJA'' zaidi ya asilimia 70 na zilizobaki 30 ndizo hasa mashabiki tunaendaga kuangalia pale uwanjani
Kwa mantiki hii wazee wa mjini wanayafahamu matokeo kabla hata ya mechi yenyewe kuchezwa kutokana na kuigharamikia ipasavyo miundombinu yote muhimu ya nje ya uwanja na jambo hili ndilo linaloinyima Azam ubingwa kwa kua pamoja na miundombinu imara ya viwanja,mazingira na malipo kwa wachezaji wake wao hawaamini kushiriki fitina za nje ya uwanja
Miundombinu ya nje ya uwanja yawezakua marefalii wote, kuwanunua wachezaji wapinzani "kwa maneno ya kaseja alithibitisha ndiye kipa aliyefuatwa kurubuniwa kuachia magoli kwa ahadi ya pesa nyingi, miundombinu mngine ni uchawi hamasa n.k
Kama umesoma Cuba na ukiangalia kwa jicho la mbali hawa GSM ni mamafia wa kiwango cha kutisha, za ndaaani kabisa ni kwamba moja kati ya wachezaji waliodiskas kwenye vikao vyao kumpunguza upepo ni huyu beki nyota wa kimataifa wa Congo
Zipo habari kwamba iliandaliwa mipango kabambe ya kuhakikisha anacheza chini ya kiwango kwenye mechi nyingi za simba na upo uwezekano kashavuta pesa ndefu tayari kukamilisha deal hilo
Sambamba na hilo mamagia hao wa GSM wamemtuliza presha beko huyu kwa kumuahidi kumsajili endapo atatemwa na klabu ya wekundu wa msimbazi kwa madai ya kuperfom chini ya kiwango
Sote ni mashahidi Inonga sasa baada ya deal yake hiyo kukamilika anafanya makosa ya wazi na ya kizembe kabisa
Zile tackling za kuslide alizokua anafanya kazisitisha kabisa anamfukuza mchezaji kwa nyuma akifunga anajifanya anashika kichwa hii ni hadaa tu kwa mashabiki
Rai yangu kwa intelijensia ya simba pamoja na kumfukuza mzungu baye ni mtoto wa dada yake kocha Maki ikiwezekana pamoja na Maki mwenyewe ianze kudukua mawasiliano ya mchezaji Henock Inonga Baka na ikibaini anashiriki ufirauni huu atimuliwe mara moja ama kama mtahofia kuchukuliwa na wapinzani muongezeeni mkataba kisha mtieni benchi milele
Simba nguvu moja, ila jana mbili moja!
Looo, uzi wa kipuuzi kweli. Ungeshinda usingeandika ugoro huu.Moja kwa moja nijikite kwenye mada,

Kwa hiyo Mo hana hizo 50 millions au yeye hataki kung'arisha brand yake!?Mkuu juma kaseja wakati anahojiwa mwezi uliopita na azam tv alikiri kupokea mialiko mingi ya kuachia magoli watu hawaelewi tu,
Siku hizi mpira ni biashara kushinda kwa yanga ni kuing'arisha brand ya GSM na bidhaa zake hivyo si shida kwa GSM kuhonga hiyo mil.50
Mnavyo msema hiyo Inonga, utafikiri timu nzima ilikuwa na mchezaji mmoja tu!Kaka nacho fikiri tatizo n inonga kuchezeshwa namba nne tu,na siku ya simba dei nilivyoona uchezaji wake niliwaambia watu wa simba inonga akiendelea kucheza hivi ataigharimu simba .... .
Shida alishazoea kutuma sasa anatumwa...🏌🏿♀️
ExactlyAsee tusifike huku mazee
Pamoja na ujinga wake wa kucheza na jukwaa,Ila tusimbebeshe mzigo wa timu nzima..Mechi ya Jana Simba kupoteza haina excuse yoyote.Simba ndy ilitengeneza nafasi nyingi zaidi lkn ikatumia moja wakati yanga walikuja kipindi cha pili Kwa lengo moja Tu..kufunga
Nafasi mbili wametia kambani,wakaibuka washindi
Mara zote Simba anafungwa na yanga Kwa sababu ya ego,kujiona ni mkubwa na yupo level ya alhaly wakati anapikutana na timu za ndani kwe ye ligi anastrugle Sana kupata matokeo.. EGOISM NDY TATIZO LINALOICOST SIMBA
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Kaka shabiki yeyote duniani ana kanuni mbili za uchambuziMnavyo msema hiyo Inonga, utafikiri timu nzima ilikuwa na mchezaji mmoja tu!
Ila binafsi sishangai. Maana malalamiko ni jadi yenu. Hasa pale timu yenu inapofungwa. Baadhi yenu hamjawahi kuwa na uvumilivu kama mashabiki wa Yanga.