Intelijensia ya simba imchunguze Henock Inonga

Hili pia ni tatizo pale msimbazi, hatu a striker mwenye njaa ya magoli na uongozi unafahamu, ni kama wanafanya bahati nasibu

Hivi kweli kama kuna striker mwenye nidhamu ya mpira kweli tunapata nafasi tano tunatumia moja!

Kuna jambo haliko sawa mahali flani
 
Huo Ni ukweli kabisa, Yanga ikifanya vizuri brand ya GSM inauzika zaidi na zaidi, hawawezi kushindwa kuonga mchezaji hili wapate matokeo mazuri,
Hivi sasaivi baada ya kufungwa juzi kizembe, Kuna shabiki kweli wakununua jezi za Simba?
 
Halafu lile limzamiru Simba wanaendelea kuwanae wanini na kitambi chake kile
 
"Kumtafuta mchawi ni nani ni kuongeza tatizo"
By. Conde boy.
 
Nilicho gundua jamaa sio shabiki wa soccer ni mwanasiasa, ambae bado hajatoboa.
 
Umeandika utafikiri hao wachezaji wa yanga viwango vyao nisawa na watoto wa shule ya msingi.Simba hajaanza kufungwa na yanga leo kashafungwa sana na atafungwa sana tu kwasababu huu ni mpira.Badala yakuwapongeza wachezaji kwakupambana mnaanza ngonjera utafikiri kile kikosi cha yanga wso hakijui kucheza ni simba tu ndio inayojua.Tupunguze ujinga.
 
Mbona akicheza vizuri tunamsifia humu

Tukiona kasoro tutamsema pia humu humu

Sisi mashabiki hatuna platform nyingine ya kusifia ama kukosoa zaidi ya hapa mtandaoni
Ulichokiandika sio kukosoa ni tuhuma ambazo zinapaswa kuthibitishwa.sasa sidhani kama ukitakiwa usithibitishe utaweza zaidi yakuandika tu hisia zako za ovyo uku mtandaoni.
 
Ulichokiandika sio kukosoa ni tuhuma ambazo zinapaswa kuthibitishwa.sasa sidhani kama ukitakiwa usithibitishe utaweza zaidi yakuandika tu hisia zako za ovyo uku mtandaoni.
Hata ulichokiandika wewe dhidi yangu hapo juu ni tuhuma ambazo ukiambiwa uthibitishe utaumwa na tumbo la kuhara pimbi wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…