MUSHEKY
JF-Expert Member
- May 9, 2014
- 2,812
- 2,760
- Thread starter
- #61
Hili pia ni tatizo pale msimbazi, hatu a striker mwenye njaa ya magoli na uongozi unafahamu, ni kama wanafanya bahati nasibuTatizo viongozi wabahili. Wanasajili cheap players. Pamoja na msiba wa ushambuliaji butu last season tumesajili striker gani tishio? Kila mtu ameonya Simba haina DM wa maana bado hatusajili!
Pale ondoa mzungu, Victor Ikpar na leta DM na mashambuliaji katili level za Manzoki au zaidi! Kama Phiri ameshindwa kuonesha kitu kwenye training piga chini hata kwa kuvunja mkataba tafuta mtu wa maana! Huu si muda wa majaribio.
Timu imevuna mikataba muziri wasajili vizuri badala ya ubahili
Hivi kweli kama kuna striker mwenye nidhamu ya mpira kweli tunapata nafasi tano tunatumia moja!
Kuna jambo haliko sawa mahali flani