Intelligence ya ccm iko hoi bin taaban.. Ya CHADEMA iko above next level..

Imagine mpaka leo hii ccm wameshindwa kabisa kujua chanzo cha mapato kilichogharamia press conference ya TAL pale mlimani city.. Sasa wamebaki kuzushazusha tuu.. Mara eti mchungwaji Peter Msiigwa ndio kagharamia🤣🤣🤣
Mara Lissu kachangisha mwenyewe nknk
Iteligensia ya CCM pia imeshindwa kabisa kabisa kung'amua kwamba Lissu aliwasilisha barua ya kutoa taarifa kwa katibu mkuu nia ya kugombea nafasi ya uenyekiti tangu mwezi wa nane
Inteligensia ya ccm ikashindwa kabisa pia kung'amua muktadha wa press conference ya Lissu ya Tarehe 12.12.2024.. Maana siku moja kabla ya PC hiyo ramli chonganishi zilikuwa nyingi sana toka chawa wa ccm.. Siku hizi LMb7 ilishakufa ikazikwa kitambo kabisa
Mada za kizushi zilikuwa nyingi sana.. Na zote zikafemea😂
Imagine watu wametoka mikoani na mabango yao.. Lakini intelligence makini ya chama chawala haikuambua kitu
CHADEMA ipewe maua yake kwenye hili.. Ina mipango ina mikakati ina utunzaji wa 'classified information' ulinyooka sana
Hizi post mpya za kuhoji gharama za kukodi ukumbi na maandalizi yake yote ni machweo ya jua lililotegemewa kuunguza kila kilichotakiwa kuungua🤣
Deluded
 
CCM yenye Intelejinsia dhaifu ndo inaongoza kila ngazi ya uongozi wa nchi, CCM imetimiza shabaha kubwa ya Chama Chochote cha Siasa ya Kuongoza ngazi zote, Afu wenye intelejinsia imara hawana wanachoongoza zaidi ya Chama Chao. Akili kama hizi ndo zihafanya CCM iendelee kuwepo madarakani miaka nenda rudi
 
Au mimi ndio sielewi?

Mbona mimi naona machawa wa Mbowe na Lisu ndio wanapopoana humu
 
Yamerudi tena kwa ID Zingine🤣🤣🤣
 
Picha ya leo kwenye CC inayowaumiza sana chawa, kunguni na viroboto
downloadfile.png
 
Imagine mpaka leo hii ccm wameshindwa kabisa kujua chanzo cha mapato kilichogharamia press conference ya TAL pale mlimani city.. Sasa wamebaki kuzushazusha tuu.. Mara eti mchungwaji Peter Msiigwa ndio kagharamia🤣🤣🤣
Mara Lissu kachangisha mwenyewe nknk
Iteligensia ya CCM pia imeshindwa kabisa kabisa kung'amua kwamba Lissu aliwasilisha barua ya kutoa taarifa kwa katibu mkuu nia ya kugombea nafasi ya uenyekiti tangu mwezi wa nane
Inteligensia ya ccm ikashindwa kabisa pia kung'amua muktadha wa press conference ya Lissu ya Tarehe 12.12.2024.. Maana siku moja kabla ya PC hiyo ramli chonganishi zilikuwa nyingi sana toka chawa wa ccm.. Siku hizi LMb7 ilishakufa ikazikwa kitambo kabisa
Mada za kizushi zilikuwa nyingi sana.. Na zote zikafemea😂
Imagine watu wametoka mikoani na mabango yao.. Lakini intelligence makini ya chama chawala haikuambua kitu
CHADEMA ipewe maua yake kwenye hili.. Ina mipango ina mikakati ina utunzaji wa 'classified information' ulinyooka sana
Hizi post mpya za kuhoji gharama za kukodi ukumbi na maandalizi yake yote ni machweo ya jua lililotegemewa kuunguza kila kilichotakiwa kuungua🤣
Wanachekesha kweli,Msigwa kumchangia Lissu hela ya press ni sawa na mbu kutoa damu kumchangia binadamu.
 
Intellejensia inatikiwa iwe na sikio pana na macho makubwa ila mdomo mdogo sana, Sasa Intellejensia ikiwa inakuambia ambia hiyo ni Intellejensia au udaku na umbea, yani hata hujielewi mganga.

Anyways wanajua Sema huwezi taja Diaspora wote ukawamaliza
 
Imagine mpaka leo hii ccm wameshindwa kabisa kujua chanzo cha mapato kilichogharamia press conference ya TAL pale mlimani city.. Sasa wamebaki kuzushazusha tuu.. Mara eti mchungwaji Peter Msiigwa ndio kagharamia🤣🤣🤣
Mara Lissu kachangisha mwenyewe nknk
Iteligensia ya CCM pia imeshindwa kabisa kabisa kung'amua kwamba Lissu aliwasilisha barua ya kutoa taarifa kwa katibu mkuu nia ya kugombea nafasi ya uenyekiti tangu mwezi wa nane
Inteligensia ya ccm ikashindwa kabisa pia kung'amua muktadha wa press conference ya Lissu ya Tarehe 12.12.2024.. Maana siku moja kabla ya PC hiyo ramli chonganishi zilikuwa nyingi sana toka chawa wa ccm.. Siku hizi LMb7 ilishakufa ikazikwa kitambo kabisa
Mada za kizushi zilikuwa nyingi sana.. Na zote zikafemea😂
Imagine watu wametoka mikoani na mabango yao.. Lakini intelligence makini ya chama chawala haikuambua kitu
CHADEMA ipewe maua yake kwenye hili.. Ina mipango ina mikakati ina utunzaji wa 'classified information' ulinyooka sana
Hizi post mpya za kuhoji gharama za kukodi ukumbi na maandalizi yake yote ni machweo ya jua lililotegemewa kuunguza kila kilichotakiwa kuungua🤣
Hakika mkuu 😂😂😂
 
Back
Top Bottom