Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM ni majangili tupuMatapeli wana akili kiasi hawa ni waganga njaa
DeludedImagine mpaka leo hii ccm wameshindwa kabisa kujua chanzo cha mapato kilichogharamia press conference ya TAL pale mlimani city.. Sasa wamebaki kuzushazusha tuu.. Mara eti mchungwaji Peter Msiigwa ndio kagharamia🤣🤣🤣
Mara Lissu kachangisha mwenyewe nknk
Iteligensia ya CCM pia imeshindwa kabisa kabisa kung'amua kwamba Lissu aliwasilisha barua ya kutoa taarifa kwa katibu mkuu nia ya kugombea nafasi ya uenyekiti tangu mwezi wa nane
Inteligensia ya ccm ikashindwa kabisa pia kung'amua muktadha wa press conference ya Lissu ya Tarehe 12.12.2024.. Maana siku moja kabla ya PC hiyo ramli chonganishi zilikuwa nyingi sana toka chawa wa ccm.. Siku hizi LMb7 ilishakufa ikazikwa kitambo kabisa
Mada za kizushi zilikuwa nyingi sana.. Na zote zikafemea😂
Imagine watu wametoka mikoani na mabango yao.. Lakini intelligence makini ya chama chawala haikuambua kitu
CHADEMA ipewe maua yake kwenye hili.. Ina mipango ina mikakati ina utunzaji wa 'classified information' ulinyooka sana
Hizi post mpya za kuhoji gharama za kukodi ukumbi na maandalizi yake yote ni machweo ya jua lililotegemewa kuunguza kila kilichotakiwa kuungua🤣
HahahaWale wote walioweka post za kizushi wamerejea kwenye huu uzi kwa hasira zote😂😂😂😂
Hahahaumezeeka ww
Kuongoza kimabavu hakuitaji Intelijensia bali kinachotakiwa ni Brutal Force,Intimidation,Bunduki Marungu ya Polisi na JW.CCM yenye Intelejinsia dhaifu ndo inaongoza kila ngazi ya uongozi wa nchi
Kunguni leo tena watalala na viatuPicha ya leo kwenye CC inayowaumiza sana chawa, kunguni na virobotoView attachment 3176537
Wanachekesha kweli,Msigwa kumchangia Lissu hela ya press ni sawa na mbu kutoa damu kumchangia binadamu.Imagine mpaka leo hii ccm wameshindwa kabisa kujua chanzo cha mapato kilichogharamia press conference ya TAL pale mlimani city.. Sasa wamebaki kuzushazusha tuu.. Mara eti mchungwaji Peter Msiigwa ndio kagharamia🤣🤣🤣
Mara Lissu kachangisha mwenyewe nknk
Iteligensia ya CCM pia imeshindwa kabisa kabisa kung'amua kwamba Lissu aliwasilisha barua ya kutoa taarifa kwa katibu mkuu nia ya kugombea nafasi ya uenyekiti tangu mwezi wa nane
Inteligensia ya ccm ikashindwa kabisa pia kung'amua muktadha wa press conference ya Lissu ya Tarehe 12.12.2024.. Maana siku moja kabla ya PC hiyo ramli chonganishi zilikuwa nyingi sana toka chawa wa ccm.. Siku hizi LMb7 ilishakufa ikazikwa kitambo kabisa
Mada za kizushi zilikuwa nyingi sana.. Na zote zikafemea😂
Imagine watu wametoka mikoani na mabango yao.. Lakini intelligence makini ya chama chawala haikuambua kitu
CHADEMA ipewe maua yake kwenye hili.. Ina mipango ina mikakati ina utunzaji wa 'classified information' ulinyooka sana
Hizi post mpya za kuhoji gharama za kukodi ukumbi na maandalizi yake yote ni machweo ya jua lililotegemewa kuunguza kila kilichotakiwa kuungua🤣
Chama kubwa kingeiba kura na kuliabisha Taifa kwa ushindi wa 99.8%. CCM ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala.CCM HAIWEZI KUWA NA INTELIJENSIA HAFIFU. ACHENI KUJIDANGANYA. MNAANZISHA MAMBO WENYEWE NA KUYASPIN WENYEWE.
CCM CHAMA KUBWA
Intellejensia inatikiwa iwe na sikio pana na macho makubwa ila mdomo mdogo sana, Sasa Intellejensia ikiwa inakuambia ambia hiyo ni Intellejensia au udaku na umbea, yani hata hujielewi mganga.Imagine mpaka leo hii ccm wameshindwa kabisa kujua chanzo cha mapato kilichogharamia press conference ya TAL pale mlimani city.. Sasa wamebaki kuzushazusha tuu.. Mara eti mchungwaji Peter Msiigwa ndio kagharamia🤣🤣🤣
Mara Lissu kachangisha mwenyewe nknk
Iteligensia ya CCM pia imeshindwa kabisa kabisa kung'amua kwamba Lissu aliwasilisha barua ya kutoa taarifa kwa katibu mkuu nia ya kugombea nafasi ya uenyekiti tangu mwezi wa nane
Inteligensia ya ccm ikashindwa kabisa pia kung'amua muktadha wa press conference ya Lissu ya Tarehe 12.12.2024.. Maana siku moja kabla ya PC hiyo ramli chonganishi zilikuwa nyingi sana toka chawa wa ccm.. Siku hizi LMb7 ilishakufa ikazikwa kitambo kabisa
Mada za kizushi zilikuwa nyingi sana.. Na zote zikafemea😂
Imagine watu wametoka mikoani na mabango yao.. Lakini intelligence makini ya chama chawala haikuambua kitu
CHADEMA ipewe maua yake kwenye hili.. Ina mipango ina mikakati ina utunzaji wa 'classified information' ulinyooka sana
Hizi post mpya za kuhoji gharama za kukodi ukumbi na maandalizi yake yote ni machweo ya jua lililotegemewa kuunguza kila kilichotakiwa kuungua🤣
Hakika mkuu 😂😂😂Imagine mpaka leo hii ccm wameshindwa kabisa kujua chanzo cha mapato kilichogharamia press conference ya TAL pale mlimani city.. Sasa wamebaki kuzushazusha tuu.. Mara eti mchungwaji Peter Msiigwa ndio kagharamia🤣🤣🤣