britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Nipo nasoma soma taarifa fulani na kuzufanyia analysis, nikakutana na taarifa ya huyu Gen. Oleg Mityaev huyu alikua ni General wa 4 wa Russia kuuawa vitani Ukraine. Kufa kwa mmoja au wawili ni hali kawaida vitani, lakini kufa kwa Generals 9 si jambo la kawaida.
Ikumbukwe, Russia iliteua Majenerali 20 wa kuongoza vita ile, kati ya hao 20, majenerali 9 wameuawa, hili si jambo dogo, hii si ajali, hii si kawaida. Afadhali wangekufa kwa mkupuo mmoja, wamedondoshwa mmoja baada ya mwingine, kwa kutumia snipers kila mmoja kwa siku yake.
Gen. Oleg Mityaev aliuawa na sniper kutoka umbali wa Km 1.5.
Kumbuka, kitendo cha snipers hao kuweza kuua karibu nusu ya Russian's Generals wanaoongoza vita, kinatupatia picha nyingine ambayo wengi hawaioni. Picha hiyo ni kuwa, Ukranians Intelligence ipo vizuri sana, wanaweza kufuatilia maadui zao, tena wale viongozi, inakusanya taarifa zao na locatiins zao na kuwapatia snipers ambao pia wanaji position sehemu sahihi kwa wakati sahihi na kumaliza kazi yao...highly disciplined
Tusiwadharau na Putin ha kutegemea hili
Na Kwa Taarifa zaidi Kwa sasa vijana wadogo ndani ya Jeshi la Urusi wanaanza kuwa na mkinzano na wakubwa, wale wazee wazee ambao wako obedient sana Kwa Putin ni wale alitoka nao Enzi zake za KGB ila Kwa sasa mbinu wamezidiwa na vijana wachanga ambao ndo wangeendana sawa na Jeshi la kisasa zaidi
Tuendelee kusubiria Mageneral wengine kuzikwa.
Britanicca