Intelligence ya UKRAINE katika Vita hii imekuwa nzuri na yenye Ufasaha kuzidi ya Urusi

Intelligence ya UKRAINE katika Vita hii imekuwa nzuri na yenye Ufasaha kuzidi ya Urusi

Umesema kweli labda...

Twambie na upande wa pili wanagapi wamekufa...je pale Moscow watu wanaenda kazini au wejifungia ndani... tupe na kiev vipi watoto wanenda shule? supermarket je? vipi kazini..

Unajua nini ukisikiliza CNN na nvombo vya habari vya uraya ukraine walishinda vita kitambo sana...

Unajisifia kuuwa..jeshini kifo nikawaid...mwisho wanaangali vipi lengo limefikiwa????

mtu yupo sebuleni kwako wewe umejificha chumbani then unasema nawapiga ...
kwani nani kamvamia mwenzake?
 
Nipo nasoma soma taarifa fulani na kuzufanyia analysis, nikakutana na taarifa ya huyu Gen. Oleg Mityaev huyu alikua ni General wa 4 wa Russia kuuawa vitani Ukraine.
Kufa kwa mmoja au wawili ni hali kawaida vitani, lakini kufa kwa Generals 9 si jambo la kawaida.

Ikumbukwe, Russia iliteua Majenerali 20 wa kuongoza vita ile, kati ya hao 20, majenerali 9 wameuawa, hili si jambo dogo, hii si ajali, hii si kawaida. Afadhali wangekufa kwa mkupuo mmoja, wamedondoshwa mmoja baada ya mwingine, kwa kutumia snipers kila mmoja kwa siku yake.

Gen. Oleg Mityaev aliuawa na sniper kutoka umbali wa Km 1.5.

Kumbuka, kitendo cha snipers hao kuweza kuua karibu nusu ya Russian's Generals wanaoongoza vita, kinatupatia picha nyingine ambayo wengi hawaioni. Picha hiyo ni kuwa, Ukranians Intelligence ipo vizuri sana, wanaweza kufuatilia maadui zao, tena wale viongozi, inakusanya taarifa zao na locatiins zao na kuwapatia snipers ambao pia wanaji position sehemu sahihi kwa wakati sahihi na kumaliza kazi yao...highly disciplined

Tusiwadharau na Putin ha kutegemea hili

Na Kwa Taarifa zaidi Kwa sasa vijana wadogo ndani ya Jeshi la Urusi wanaanza kuwa na mkinzano na wakubwa, wale wazee wazee ambao wako obedient sana Kwa Putin ni wale alitoka nao Enzi zake za KGB ila Kwa sasa mbinu wamezidiwa na vijana wachanga ambao ndo wangeendana sawa na Jeshi la kisasa zaidi

Tuendelee kusubiria Mageneral wengine kuzikwa.

View attachment 2199874
Britanicca
Ukiwa na watoto wako ndo uwaambie huo utoto!
 
Kama nyie wanaume kweli watoeni hao nguchiro ndani ya hayo mashimo.
Ili kujua hali yenu mbaya, mmeamua kumtuma Gutterres akabembeleze mwamba aruhusu hizo Nguchiro zitoke humo ndani.
 
Nonsense warusi kila siku wanachukua miji na hakuna cha kufanya Sasa inteligencia gani Sasa mnayo
Akina Biden wamebaki kuwapata silaha wa Ukraine,na nyingi ya hizo zinabutuliwa hata kabla ya kutumiwa,ngoja siku wakishuhidia mrusi anachukua ukraine yote ndio sijui watamwambiki Kibaraka wao aombe suluhu,na wakati huo mrusi atafanya kuwakomoa Kwa kuichukua nyingine angalao Moja,hivi inayomletea kiherehere zaidi.
 
Kama nyie wanaume kweli watoeni hao nguchiro ndani ya hayo mashimo.
Ili kujua hali yenu mbaya, mmeamua kumtuma Gutterres akabembeleze mwamba aruhusu hizo Nguchiro zitoke humo ndani.
Ona huyu nae mwanaume wa shoka anaefokea nyuma ya key board,akikutana na Panya Road anakimbiza kitambi chake hadi anasahau kimkokoteni chake barabarani
 
Nonsense warusi kila siku wanachukua miji na hakuna cha kufanya Sasa inteligencia gani Sasa mnayo
Miji gani wamechukua

Kuna wanajeshi waliokamatwa mateka zaidi ya 5,000. Yaan wa Urusi

Nataka nipeleke ushauri wangu kuwa wafungwe ankle gps then wapelekwe US na nchi za NATO na wengine wanakizwe Ukraine wakatunzwe kwenye zile hotels za Russian oligarch ili kuwahamasisha wanajeshi wa Russia waanze kujisalimisha😅😅

Mrusi wa buza hizo taarifa ni za kutokea ccn,france24,hapo Kwa mabeberu wa ulaya pale Brussels na Kwa mabeberu wa Washington, ushauri wa Bure,sikiliza vyombo huru angalao akina aljazeera,au hata Russia today .utaweza patapata angalao taarifa zenye usahihi kiasi Fulani
 
kwani nani kamvamia mwenzake?
Urusi kavamia Ukraine...

Hivi mtu akivamia kwako zaid ya masiku umeshindwa muundoa hapo ni kukubali yaishe..sio unaleta story janja janja oohh sijui nimempiga ngumi ya jicho,mara oohh nimevunja mshale wake...twambia utamtoa lini kwako..hatutaki habari zu uwongo uwongo
 
Mrusi wa buza hizo taarifa ni za kutokea ccn,france24,hapo Kwa mabeberu wa ulaya pale Brussels na Kwa mabeberu wa Washington, ushauri wa Bure,sikiliza vyombo huru angalao akina aljazeera,au hata Russia today .utaweza patapata angalao taarifa zenye usahihi kiasi Fulani
Russian Today Ni Chombo huru? Utakuwa umechanganyikiwa kweli. Kwenye huu mgogoro Vyombo vingi vya habari Ni kuripoti Fake news TU,Tena hao Russian Today tangu wapigwe pin ndio kabisa wameamua kuwa Pro-Russia. Angalau Kidogo Aljazeera inaripoti kinachotokea au maoni ya Watu mashuhuri.
 
Sijachanganyikiwa ila ni mawazo huru tu
 
Acheni zenu bana, tunataka thread za kusifia JAVELINA kama zamani, saivi naona mnakuja na mambo mengine tu ya ajabu ajabu.
 
Back
Top Bottom